Natabiri kuna jambo zito sana la siri linaendelea katika siasa za Tanzania

chorus za mwisho mwisho hapo kwenye mataifa makubwa ndio sehemu hatari sana panapotisha.

the world mafioso, are watching closely and calculating all posibilities....our failure to handle and weigh every stage will favor them..

Magufuri amekufa, TL amekoga marisasi dodoma makao makuu mchana..TL yuko uhamishoni akafuatiwa na Lema baada tu ya uchaguzi, Mbowe yuko mahabusu.....Leo Spika is out....hatujui ya kesho, Matukio mageni mageni tu kwa Taifa....

dots ni nyingi sana, unatakiwa ujue kuziunga.

Ongeza na hili, RPF is in Mozambique, the southern Tanzania, Total is dip inside Tanzania now to expand its business..
 
Hofu ya kutengeneza,... Hamna lolote.
 
Wasabato huwa mnanifurahisha mwe
 
Duh aiseee huu mwaka umeanza kivingine
 
Hakuna jipya watu tunawaza tupataje pesa za akiba mwakani endapo misosi itapanda Bei au kuadimika
 
Sukuma gang wanajifariji 😆😆.

Ila Taifa na Rais tunawaombea kila siku ni wajibu wenye faida.
 
Kweli kabisa, sidhani kama kuna mbunge wa ccm ambaye hajajimilikisha ardhi kubwa tu, labda kama mwenyewe hataki
 
Mbona sijakuelewa na hiyo 666? Usifananishe mambo ya Tz na ya Kibiblia.
 
Amerudi nani sheikh Yahya mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…