Natabiri miaka 50 ijayo watoto wengi hawatawapenda Mama zao. Upendo utarudi Kwa Baba

Natabiri miaka 50 ijayo watoto wengi hawatawapenda Mama zao. Upendo utarudi Kwa Baba

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Bila Shaka muwazima!

Kama kichwa kinavyoeleza hapo.

Natabiri miaka 50 ijayo wamama wengi watachukiwa na watoto wao wa kuwazaa.
Ule upendo wa mtoto Kwa mama utafutika.
Chuki itatawala.
Upendo watauhamishia Kwa Baba zao ambao hata hivyo Kwa bahati mbaya hawatakuwa Baba wazazi isipokuwa Baba walezi.

Thamani ya mwanamke ilibaki Kwa watoto wao Kwa maana wengi walijiharibu na Dunia. Miili Yao ya thamani waliitumia Kwa ukahaba, watoto pekee ndio lilikuwa tumaini Lao.

Lakini tumaini Hilo nalo litaondoka baada ya chuki kuwageukia.

Naona miaka 50 watoto waliopevuka wakiona nyuchi za mama Yao, na wala mama zao wasione haya.
Naona miaka 50 watoto wakiume wakigeuzwa na kulalwa na Mama zao na Mwanaume mmoja.

Hayo yatatokea hivi karibuni, wala sio mbali na wengi mlio chini ya miaka 25 mnaweza kuyashuhudia Kwa macho..

Ni Yule Mtibeli

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Kerege
 
Labda kama wababa ndio watakua wanabeba mimba nakuwanyonyesha watoto.
Upendo wa Mtoto kwa mama ni Undisputable

Omba uwepo Zama hizo.

Mbona hata sasa wapo watoto hawawapendi mama zao.

Upendo wa mtoto Kwa mama sio natural isipokuwa unatengenezwa na ukaribu baina ya mama na mtoto. Weka hiyo akilini
 
Nakerwa na wamama wanaoitwa single mother, hawa kina mama si wajane bali ni wanawake wenye uwezo wa kifedha, fedha zao zimewatia jeuri, hawataki kuishi maisha ya ndoa ya mume mmoja. Wanazaa na kila mwanaume wamtakaye, na kila mtoto ana baba yake, hawa wanawake huishi na watoto wao tu bila baba zao na wakati hao baba zao wapo hai
 
Hatari Sana
 
Back
Top Bottom