Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030


Kumbe uchawi/ushirikina unaweza kumfanya mtu kufanikiwa?
 
Gwajima anasemaje?Paulina yupo kitengo Cha Kazembelembe aka
 
Labda katika nchi ya kusadikika
 
Kinachomfelisha sio jina lake ni tabia yake
Ajifunze tabia ya kiuongozi
Mfano kuheshimu viongozi wenzake
Kupunguza dharau na majigambo
Kuacha kujisifu na kutishia watu
Kuridhika na nafasi anazopewa
 
JPM pamoja na kulishwa sumu akiwa naibu waziri, bado hakukata tamaa, na Makonda ni vile vile. Jitahidi kijana wetu uichukuwe nchi uiendeshe kizalendo. Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tz ikipata kiongozi kama JPM tunakuwa wa kwanza kiuchumi. Tumekalia uchumi sema tu ni swala la uongozi.
 
Mkikubali kuongozwa na muovu yule nasi mjue mtabaki kushirikiana na China tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…