Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Limwandiko libayaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Wana JF
Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 Tuombeni Uhai
Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu atamsimamia kwa kila Hatua anayopita na kila baya mnalomfanyia.
Ukweli ni Kwamba naumia sana kumuona mh.paul makonda kila analofanya nyinyi mnaliona baya.
Hivi kwa nini huwa mnamchukia huyu mwamba,hivi kwa nini huwa hampendi huyu mwamba?
Je kitu gani kinawafanya nyinyi mum mumuone tofauti wakati makonda ni mtete wa wanyonge?
Kikubwa na kwamba binadamu wengi wa Tanzania mmejaa chuki nyingi sana juu ya huyu mwamba.
Naumia sana kumuona mtu mwenye kipawa cha uongozi mnakichukia.
Ombi langu hii hazina ya mtu kama makonda anatakiwa atunzwe sehemu ili mwisho wa siku aje kuikomboa hii Tanzania.
Poul makonda mheshimiwa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ajaye sina cha kuongea zaidi ila naamini kila baya litapita na utakuja kushinda hii vita.
Hapa nipo mbioni kuhama mkoa kumfuata mh.poul makonda huko ARUSHA popote atapo hama mimi nitamfuata .
Moyo wangu unafarijika kumuona makonda ananyazifa katika serikali hii.
Mungu naomba huyu mtu umtie nguvu kwa kila jambo.
Nina mengi sana juu ya makonda lakini huko ulipo nakuombea dua njema na nipo mbioni hadi mwezi wa Tano panapo majaliwa nitakuwa Arusha najisikia raha sana unapokuwa na uongozi sehemu mojawapo ya serikali ya Tanzania.
Mungu akulinde na mabaya,akuepushie wabaya wote wanaokuombea dua mbaya mh.poul makonda.
Nahakikisha nitakuwa mwananchi wako mwema juu yako kwa kila jambo
Ahsante.
Gwajima anasemaje?Paulina yupo kitengo Cha Kazembelembe akaHabari Wana JF

Labda katika nchi ya kusadikikaHabari Wana JF

Amekunywa bila kula...Umekula lakini?
Hii homa itaisha pale viongozi wenyewe atakataa kusifiwa hivyo, au kuwa na watu wa aina hiyo. Tumefika hapa sababu ya siasaHii homa ya uchawa tunaidhibitije ndugu zangu,nchi inaenda mramahii.
Mkikubali kuongozwa na muovu yule nasi mjue mtabaki kushirikiana na China tuJPM pamoja na kulishwa sumu akiwa naibu waziri, bado hakukata tamaa, na Makonda ni vile vile. Jitahidi kijana wetu uichukuwe nchi uiendeshe kizalendo. Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tz ikipata kiongozi kama JPM tunakuwa wa kwanza kiuchumi. Tumekalia uchumi sema tu ni swala la uongozi.
Muasisi wa mambo kama haya ni jiwe.Hii homa itaisha pale viongozi wenyewe atakataa kusifiwa hivyo, au kuwa na watu wa aina hiyo. Tumefika hapa sababu ya siasa