Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

Habari Wana JF

Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai

Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu atamsimamia kwa kila Hatua anayopita na kila baya mnalomfanyia.

Ukweli ni Kwamba naumia sana kumuona mh. Paul Makonda kila analofanya nyinyi mnaliona baya.

Hivi kwanini huwa mnamchukia huyu mwamba,hivi kwa nini huwa hampendi huyu mwamba?

Je, kitu gani kinawafanya nyinyi mum mumuone tofauti wakati makonda ni mtete wa wanyonge?

Kikubwa na kwamba binadamu wengi wa Tanzania mmejaa chuki nyingi sana juu ya huyu mwamba.

Naumia sana kumuona mtu mwenye kipawa cha uongozi mnakichukia.

Ombi langu hii hazina ya mtu kama makonda anatakiwa atunzwe sehemu ili mwisho wa siku aje kuikomboa hii Tanzania.

Poul Makonda mheshimiwa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ajaye sina cha kuongea zaidi ila naamini kila baya litapita na utakuja kushinda hii vita.

Hapa nipo mbioni kuhama mkoa kumfuata mh.poul makonda huko ARUSHA popote atapo hama mimi nitamfuata .

Moyo wangu unafarijika kumuona makonda ananyazifa katika serikali hii.

Mungu naomba huyu mtu umtie nguvu kwa kila jambo.

Nina mengi sana juu ya makonda lakini huko ulipo nakuombea dua njema na nipo mbioni hadi mwezi wa Tano panapo majaliwa nitakuwa Arusha najisikia raha sana unapokuwa na uongozi sehemu mojawapo ya serikali ya Tanzania.

Mungu akulinde na mabaya, akuepushie wabaya wote wanaokuombea dua mbaya mh.Paul Makonda.

Nahakikisha nitakuwa mwananchi wako mwema juu yako kwa kila jambo

Ahsante.
mleta uzi huna akili yaani kulipwa vimiambili tu unaona hiyo takataka inaweza kupewa kazi tukufu hapo nchini? watanzania hatuna akili kabisaaa especially mafisiemu
 
Katika ndoto hiyo, nilijikuta nikiwa katikati ya jiji la Dodoma, hali ikiwa shwari na watu wakiwa na furaha. Mji ulionekana kupambwa kwa bendera nyingi zenye rangi ya taifa, na kila kona ya mji ilionyesha hali ya sherehe.

Nilitembea hadi eneo la Ikulu, ambapo niliona umati mkubwa wa watu wakiwa wamekusanyika, wakiimba nyimbo za taifa na wakionyesha ishara za amani na umoja. Nilipomkaribia mmoja wa watu waliokuwepo, aliyeonekana kuwa na furaha sana, nilimuuliza, "Nini kinaendelea hapa leo?"

Yule mtu akajibu kwa sauti ya furaha, "Makonda ameapishwa kuwa Rais wa Tanzania!"

Kwa mshangao, nilijikuta nikitabasamu bila kutarajia. Ndipo niliona kitu cha ajabu zaidi, anga lilikuwa na mwanga mkali, na kulikuwa na sauti ya utulivu ikisema, "Hii ni zawadi ya Mungu kwa Tanzania. Uongozi mpya utaleta amani, maendeleo, na upendo kwa wananchi wote."

Ndoto ilipoendelea, niliona picha za miradi mikubwa ya maendeleo ikizinduliwa, watu wakipata huduma bora za afya na elimu, na mazingira safi yakiwa ni ushahidi wa juhudi za uongozi mpya. Makonda akiwa amevaa suti nyeusi, akionekana mwenye hekima na nguvu, akihutubia taifa kwa maneno yenye matumaini na hamasa. Alisema, "Pamoja tutaleta mabadiliko tunayoyahitaji. Tanzania ni yetu sote, na tutashirikiana kuijenga kwa upendo na umoja."

Mara nilipoamka kutoka kwenye ndoto hiyo, nilikuwa na hisia za amani na matumaini makubwa. Niliona maneno ya sauti ile ya utulivu, na nikaamini kuwa Mungu alikuwa ameniweka wazi mustakabali mzuri kwa Tanzania chini ya uongozi wa Makonda. Ndoto hiyo ilinipa imani kuwa mabadiliko mazuri yanaweza kutokea, na Tanzania itakuwa na wakati ujao wenye neema na mafanikio.
 
Labda Rais wa Manzese
 
Hizo pombe za matapu tapu mnazokunywa mnalala namalue lue.

Kunyweni bia acheni Gongo
 
Amen. Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
P
 
Back
Top Bottom