Kiukweli hakuna ulicho kitabiri hapo kwa sababu zifuatazo:
1. Kwanza kwenye awamu hii mabadiliko ni jambo la kawaida sana lisilo hitaji kutumia akili kuling'amua.
2. Hata viongozi na wateule wa awamu kuanzia ya tano (5) hawalali wakifahamu kwamba wakati wowote ikimpendeze Rais hufanya mabadiliko.
3. Kwasasa siasa za hii nchi, mabadiliko ya wateule limekua jambo la kawaida sana hata sio jambo la ajabu tena kama zamani.
Hii ni sawa na kutuhadaa kwamba mvua itanyesha ndani ya wiki hii, wakati tayari ni kipindi cha masika.