Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kiukweli hakuna ulicho kitabiri hapo kwa sababu zifuatazo:
1. Kwanza kwenye awamu hii mabadiliko ni jambo la kawaida sana lisilo hitaji kutumia akili kuling'amua.
2. Hata viongozi na wateule wa awamu kuanzia ya tano (5) hawalali wakifahamu kwamba wakati wowote ikimpendeze Rais hufanya mabadiliko.
3. Kwasasa siasa za hii nchi, mabadiliko ya wateule limekua jambo la kawaida sana hata sio jambo la ajabu tena kama zamani.
Hii ni sawa na kutuhadaa kwamba mvua itanyesha ndani ya wiki hii, wakati tayari ni kipindi cha masika.
[emoji3][emoji3][emoji1787]Sawa na mtu eti anatabiri kesho jua litawaka, wakati ni kiangazi jua kuwaka ni lazima[emoji23]
Hujaelewa;Kiukweli hakuna ulicho kitabiri hapo kwa sababu zifuatazo:
1. Kwanza kwenye awamu hii mabadiliko ni jambo la kawaida sana lisilo hitaji kutumia akili kuling'amua.
2. Hata viongozi na wateule wa awamu kuanzia ya tano (5) hawalali wakifahamu kwamba wakati wowote ikimpendeze Rais hufanya mabadiliko.
3. Kwasasa siasa za hii nchi, mabadiliko ya wateule limekua jambo la kawaida sana hata sio jambo la ajabu tena kama zamani.
Hii ni sawa na kutuhadaa kwamba mvua itanyesha ndani ya wiki hii, wakati tayari ni kipindi cha masika.
Ametabiri muda ambao mabadiliko hayo yatatokea na pia ametaja idadi ya viongozi watakaoguswa na mabadiliko hayo. Wewe unataka utabiri uweje?Huna utabiri wowote ww muhuni. Hayo ni mambo obvious. Ni sawa na kutabiri kuwa mwaka huu watazaliwa watoto wengi wa kike na kiume.