Natabiri tena mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri

Tutegemee mtu muhimu Kutoka benchi akiingia uwanjani.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hujaelewa;
Aliyotabiri hapa ni mambo makubwa mawili kwamba;
Kwanza mawairi wawili watapumzishwa na kuwekwa wengine wapya kabisa
Pili ni kwamba mabadiliko hayo yatatokea kabla ya au kufikia December 2023
Je, huu siyo utabiri?
 
Huna utabiri wowote ww muhuni. Hayo ni mambo obvious. Ni sawa na kutabiri kuwa mwaka huu watazaliwa watoto wengi wa kike na kiume.
Ametabiri muda ambao mabadiliko hayo yatatokea na pia ametaja idadi ya viongozi watakaoguswa na mabadiliko hayo. Wewe unataka utabiri uweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…