Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

1.Al Ahly
2.Wydad Casablanca
3.Esperance de Tunis
4.Raja Casablanca
5.Mamelodi Sundowns
6.TP Mazembe
7.Zamalek
8.Horoya
9.Petro de Luanda
10.Simba
11.CR Belouizdad
12.JS kabylie
13.Al Hilal
14.As Vita Club
15.Al-Ahli Tripoli
16.Coton Sport
Where is yanga ?, your list is nonsense
 
IMO Al hilal watafungwa nje ndani na yanga, kwa jicho la kimpira nimeona kikosi cha al hilal kwa sura tu niseme pale hakuna timu. Al hilal ni zalan iliyochangamka.[emoji1787]
 
1.Al Ahly
2.Wydad Casablanca
3.Esperance de Tunis
4.Raja Casablanca
5.Mamelodi Sundowns
6.TP Mazembe
7.Zamalek
8.Horoya
9.Petro de Luanda
10.Simba
11.CR Belouizdad
12.JS kabylie
13.Al Hilal
14.As Vita Club
15.Al-Ahli Tripoli
16.Coton Sport
horoya si ameshatolewa ndugu???
 
Utofauti wa mashabiki wa Yanga na simba nikuwa,
*Mashabiki wa Yanga wanaamini katika matokeo ya uwanjani
*Mashabiki wa simba wanaamini katika matokeo ya mfukoni.
Matokeo yake sasa, hatumtaki matolaaaa, kocha aondokeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1.Al Ahly
2.Wydad Casablanca
3.Esperance de Tunis
4.Raja Casablanca
5.Mamelodi Sundowns
6.TP Mazembe
7.Zamalek
8.Horoya
9.Petro de Luanda
10.Simba
11.CR Belouizdad
12.JS kabylie
13.Al Hilal
14.As Vita Club
15.Al-Ahli Tripoli
16.Coton Sport
Kwa hiyo umeshapata sasa amani ya moyo baada ya huu utabiri wako! Au bado unaendelea kuteseka?
 
1.Al Ahly
2.Wydad Casablanca
3.Esperance de Tunis
4.Raja Casablanca
5.Mamelodi Sundowns
6.TP Mazembe
7.Zamalek
8.Horoya
9.Petro de Luanda
10.Simba
11.CR Belouizdad
12.JS kabylie
13.Al Hilal
14.As Vita Club
15.Al-Ahli Tripoli
16.Coton Sport
Ngoja waje wale majuha wa matopeni wakupopoe

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
1.Al Ahly
2.Wydad Casablanca
3.Esperance de Tunis
4.Raja Casablanca
5.Mamelodi Sundowns
6.TP Mazembe
7.Zamalek
8.Horoya
9.Petro de Luanda
10.Simba
11.CR Belouizdad
12.JS kabylie
13.Al Hilal
14.As Vita Club
15.Al-Ahli Tripoli
16.Coton Sport
Unataka ugomvi na jamaa?😂😂😂😂
 
This season Simba hana team ya kwenda Makundi,.. Ajiandae mechi za hapa hapa za ligi.. Kikosi kibovu sana,. Msiishi kwa kukariri na hisia.. Ukweli mchungu na maendeleo haya Chama
 
1.Al Ahly
2.Wydad Casablanca
3.Esperance de Tunis
4.Raja Casablanca
5.Mamelodi Sundowns
6.TP Mazembe
7.Zamalek
8.Horoya
9.Petro de Luanda
10.Simba
11.CR Belouizdad
12.JS kabylie
13.Al Hilal
14.As Vita Club
15.Al-Ahli Tripoli
16.Coton Sport
10. Weka Premio De Agosto
13. Young Africans
Hutaki jinyonge.
 
Narudia tena kama viongozi,kocha na wachezaji wa simba wanaichukulia Premio de agosto kama mashabiki mandazi wanavyoichukulia SIMBA HATOBOI makundi.nawaona Ndala wakitinga makundi kama wataacha mpira wao wa kumuangalia Mayele na kukimbia kimbia kama wehu.Mpira wa kimataifa unataka utulivu,kuposses na mahesabu makali na sio kupitia mlango wa uani kama Kinye fc wanavyofanya kila wakikutana na Mnyama
1.Al Ahly
2.Wydad Casablanca
3.Esperance de Tunis
4.Raja Casablanca
5.Mamelodi Sundowns
6.TP Mazembe
7.Zamalek
8.Horoya
9.Petro de Luanda
10.Simba
11.CR Belouizdad
12.JS kabylie
13.Al Hilal
14.As Vita Club
15.Al-Ahli Tripoli
16.Coton Sport
 
This season Simba hana team ya kwenda Makundi,.. Ajiandae mechi za hapa hapa za ligi.. Kikosi kibovu sana,. Msiishi kwa kukariri na hisia.. Ukweli mchungu na maendeleo haya Chama
Tunasubiria kwa hamu mwarabu atakavyowamanua Jumamosi.
 
Back
Top Bottom