Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

1.Al Ahly
2.Wydad Casablanca
3.Esperance de Tunis
4.Raja Casablanca
5.Mamelodi Sundowns
6.TP Mazembe
7.Zamalek
8.Horoya
9.Petro de Luanda
10.Simba
11.CR Belouizdad
12.JS kabylie
13.Al Hilal
14.As Vita Club
15.Al-Ahli Tripoli
16.Coton Sport
Kama ingekua mkeka unaenda kutusua
 
1.Al Ahly
2.Wydad Casablanca
3.Esperance de Tunis
4.Raja Casablanca
5.Mamelodi Sundowns
6.TP Mazembe
7.Zamalek
8.Horoya
9.Petro de Luanda
10.Simba
11.CR Belouizdad
12.JS kabylie
13.Al Hilal
14.As Vita Club
15.Al-Ahli Tripoli
16.Coton Sport
15 hatoboi
 
Utofauti wa mashabiki wa Yanga na simba nikuwa,
*Mashabiki wa Yanga wanaamini katika matokeo ya uwanjani
*Mashabiki wa simba wanaamini katika matokeo ya mfukoni.
Matokeo yake sasa, hatumtaki matolaaaa, kocha aondokeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YANGA atashinda mechi ya marudiano 3 - 1 ugenini sababu mpira hudunda na pia bahati huwa ina nafasi yake katika matokeo yoyote yale kimaisha.
 
Tujiandae kuwapokea Yanga wakirudi toka Sudani na tuwakaribishe kwenye ligi kuu ya ndani waliyozoea kutembeza bahasha!
 
Unaitoaje Yanga Hapo Wakati Wao Ndiyo Waliosema Wanabeba Ndoo Mwaka Huu
 
Naona Tp mazembe amechana mkeka😂😂😂
 
1.Al Ahly
2.Wydad Casablanca
3.Esperance de Tunis
4.Raja Casablanca
5.Mamelodi Sundowns
6.TP Mazembe
7.Zamalek
8.Horoya
9.Petro de Luanda
10.Simba
11.CR Belouizdad
12.JS kabylie
13.Al Hilal
14.As Vita Club
15.Al-Ahli Tripoli
16.Coton Sport
Mkeka umechanika, Mazembe out
 
Back
Top Bottom