Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

Kama ingekua mkeka unaenda kutusua
 
15 hatoboi
 
YANGA atashinda mechi ya marudiano 3 - 1 ugenini sababu mpira hudunda na pia bahati huwa ina nafasi yake katika matokeo yoyote yale kimaisha.
 
Tujiandae kuwapokea Yanga wakirudi toka Sudani na tuwakaribishe kwenye ligi kuu ya ndani waliyozoea kutembeza bahasha!
 
Unaitoaje Yanga Hapo Wakati Wao Ndiyo Waliosema Wanabeba Ndoo Mwaka Huu
 
Naona Tp mazembe amechana mkeka😂😂😂
 
1.Al Ahly
2.Wydad Casablanca
3.Esperance de Tunis
4.Raja Casablanca
5.Mamelodi Sundowns
6.TP Mazembe
7.Zamalek
8.Horoya
9.Petro de Luanda
10.Simba
11.CR Belouizdad
12.JS kabylie
13.Al Hilal
14.As Vita Club
15.Al-Ahli Tripoli
16.Coton Sport
Mkeka umechanika, Mazembe out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…