Natafata mume, mwenye sifa hizi

Natafata mume, mwenye sifa hizi

Na mtaani mkuu🤣🤣🤣🥴
Bintì ni mwanamke kijana ila kwa 30 na ukizingatia umri wa kuishi kwa Tz ni 50 mpka 60 ukiwa na nguvu , binti ni kwa wazazi wako na watu wenye umri sawa na wazazi wako tu🤣🤣🤣🤣
 
Baada ya kumuomba kwa muda mrefu, mungu ameshindwa kukupatia mume mpaka umekuwa na miaka 30.

Kwanini bado unataka mwanaume anayempenda mungu aliyekulet down?
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.

Atakaewahi atapewa kipaumbele

Tukutane PM
 
Back
Top Bottom