Natafata mume, mwenye sifa hizi

Natafata mume, mwenye sifa hizi

Kwani wadada na nyie mnakuwa wa pweke? Sema tu hua mnaringa ujanani
 
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.

Atakaewahi atapewa kipaumbele

Tukutane PM
Maisha yanaenda kasi sana! Leo wamama mmekuwa wa kujitembeza? Chema chajiuza kibaya chajitembeza! Wahenga hao ndio walisema hivyo!
 
God, you see her heart and the feelings that are growing in her heart for the husband. If these feelings are from You, may they continue to grow and may You give her courage and wisdom to pursue husband in Your timing..... Amen..🙏
 
Sogea sogea 35+ hapo uanze kumtafuta anaepumua tu list itakua ndefu maana najua huko PM swali la kwanza unafanya kazi gani kikiwa kinalengwa kibunda tu na sio kingine
 
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.

Atakaewahi atapewa kipaumbele

Tukutane PM
Mwenzio Miss Natafuta alitafuta mpaka akachoka!
 
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.

Atakaewahi atapewa kipaumbele

Tukutane PM
Miaka 30 sio Binti,wewe ni mama acha kudanganya akili yako
 
Back
Top Bottom