Natafuta baba watoto

Natafuta baba watoto

Nilishakuambia sana wanaume hawakwepeki utaruka kukimbia na kujificha mwisho utatoka mwenyewe.. tizama sasa nilikutongoza sana
 
Kweli hii ni Tz ya Anko Magu na stress za viwanda bila kusahau safari za kurudi mikoani ifikapo mwezi wa saba.
 
natafuta mwanaume wa kula nae uzee
miaka 38 na kuendelea.vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue
usiwe umepeana talaka na mkeo ,au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki

uwe mtu mzima mwenye kujitambua
uwe unaishi dsm mahusiano ya mbalimbali sitaki.
kama kawaida hakuna kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto .ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka
uwe tayari kupima ngoma
sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.
email missnatafuta2017@gmail.com
mwisho wa maombi ni week mbili toka leo

Uko sawa!!.....
Kaza buti sasa wameshakusikia watakuja kwa wingi sana, kazi kwako.....
 
natafuta mwanaume wa kula nae uzee
miaka 38 na kuendelea.vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue
usiwe umepeana talaka na mkeo ,au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki

uwe mtu mzima mwenye kujitambua
uwe unaishi dsm mahusiano ya mbalimbali sitaki.
kama kawaida hakuna kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto .ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka
uwe tayari kupima ngoma
sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.
email missnatafuta2017@gmail.com
mwisho wa maombi ni week mbili toka leo
cc0ce69cd5cb61e55c46081042d40514.jpg

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Sisi tunaombi moja tu kwako....weka picha

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Stress zakuzeeka bila kuolewa ni mbaya sana dah! pole sana.
 
Natafuta mwanaume wa kula nae uzee miaka 38 na kuendelea, vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue.

Usiwe umepeana talaka na mkeo.

Au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki.

Uwe mtu mzima mwenye kujitambua.

Uwe unaishi DSM mahusiano ya mbalimbali sitaki kama kawaida hakuna.

Kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto.

Ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka uwe tayari kupima ngoma sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.

Email missnatafuta2017@gmail.com
Mwisho wa maombi ni week mbili toka leo
Good lucky mamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miss Natafuta.
CV: Miaka 42
Nina nyumba 2 Moja dar nyingine Iringa.
Elimu:: shahada
Kazi: civil servant
Marital: married
Watoto: watatu
 
Back
Top Bottom