Aanha sawa ila mimi nipo Dar es salaamNimesoma haraka haraka nikajua upo Mbeya nilitaka nikuambie uje sasa hivi.
Bajaji kwa maana halisi ya bajaji ama bajaji kwa ile maana ya Buza?Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi
Bajaji (TukTuk) chombo cha usafiriBajaji kwa maana halisi ya bajaji ama bajaji kwa ile maana ya Buza?
Vijana wamasumbua sana huwa kabla ya kazi wanakuja mikono nyuma ila baada ya kupata wanaanza dharau. Umempa somo kubwa sana hopefully ataelewa...Sawa mkuu hope wew ni kijana mzur.......
Hope utakua kijana mzur sio kama wale Wengi wakiwa wanaomba kazi mikono nyuma....
Wakipewa kazi mikono mbele na usumbufu mwingi.....
Hope wewe hautakua ivyo....
All the Best
Asante sana naomba Mungu niweze pata mfadhili sahihi mwenye utu wa kufanya nae kaziSawa mkuu hope wew ni kijana mzur.......
Hope utakua kijana mzur sio kama wale Wengi wakiwa wanaomba kazi mikono nyuma....
Wakipewa kazi mikono mbele na usumbufu mwingi.....
Hope wewe hautakua ivyo....
All the Best
Nimeelewa, ila naomba tusi ishi kwa kukalili tabia ya baadhi ya watu kuainisha kwa watu wengineoVijana wamasumbua sana huwa kabla ya kazi wanakuja mikono nyuma ila baada ya kupata wanaanza dharau. Umempa somo kubwa sana hopefully ataelewa...
Nina pikipiki nyingi na pia hapo nyuma nishawah kuwa na bajaji tatu. Madereva huwa wanasumbua nakueleza from experience. .Nimeelewa, ila naomba tusi ishi kwa kukalili tabia ya baadhi ya watu kuainisha kwa watu wengineo
Wazungu husema EXPERIENCE IS THE BEST TEACHER.....Nina pikipiki nyingi na pia hapo nyuma nishawah kuwa na bajaji tatu. Madereva huwa wanasumbua nakueleza from experience. .
π I am still learning from my mistakes to be a better version of myself.Wazungu husema EXPERIENCE IS THE BEST TEACHER.....
kwenye experience yako uligundua nini shida ya wao kubadilika kuwa wasumbufu? Maana tafsiri yako umesema huwa wanasumbua ukimaanisha ni tabia endelevu si ndio?Nina pikipiki nyingi na pia hapo nyuma nishawah kuwa na bajaji tatu. Madereva huwa wanasumbua nakueleza from experience.
Si mtu makini tu bali mtu mwenye utu na kukithamini chombo cha usafiriπ I am still learning from my mistakes to be a better version of myself.
Hii biashara sio ya kuwekeza kwenye chombo bali unawekeza kwa mtu makini. .
From my experience hata ukiwa na kijana mzuri unless condition za chombo zinambana tofaut na hesabu labda tuseme mkataba japo wachache sana; chombo kinambadilisha mtu. That's my experience kuwa chombo kinambadilisha hata yule aliye mwema.kwenye experience yako uligundua nini shida ya wao kubadilika kuwa wasumbufu? Maana tafsiri yako umesema huwa wanasumbua ukimaanisha ni tabia endelevu si ndio?
Si kila mtu apa dunia huishia kwenye kundi moja la tabia na wengine naomba tusiishi kwa kukalili alfu neno experience ni chain
Si kwamba najitetea bali kufahamu experience yako ni juu watu au juu ya chombo.From my experience hata ukiwa na kijana mzuri unless condition za chombo zinambana tofaut na hesabu labda tuseme mkataba japo wachache sana; chombo kinambadilisha mtu. That's my experience kuwa chombo kinambadilisha hata yule aliye mwema.
Mtu akishapata chombo tu ataleta hesabu vizuri kadri siku zinavyosonga anaona kama anakupa hela bure. Mda mwingine anaitolea sana macho hesabu anayokuletea anaona kama anakunufaisha sana wakati hajui ulipambana vipi kununua chombo. .
Sijamaanisha wewe ni mmoj wapo nimesema kutokana na experience huna haja ya kujitetea...
Mtu akipata chombo anakuwa too attached anaweza ona chombo ni chake. Experience toka 2013 mpaka leo ni miaka kumi na.Si kwamba najitetea bali kufahamu experience yako ni juu watu au juu ya chombo.
Ila nahitaji kufahamu kwenye huelewa wako wa experience adi unasema mtu anakuwa anaitolea sana macho hesabu. Je ni kweli usemacho au ni mtazamo wa kuhisi huwa ndivyo wao wazavyo?
Sawa nashukuru ngojea niwe na subila nisubilieMtu akipata chombo anakuwa too attached anaweza ona chombo ni chake. Experience toka 2013 mpaka leo ni miaka kumi na.
uzuri hesabu zangu huwa naandika kwenye daftari π anyway naoka tunatoka nje ya mada.
Kuna watu huwa wanatoa bajaji humu sana ngoja waje. .
Wazee wa zamani waliona mengi kwaio kijana anacho kueleza ndugu yangu Gily ni ukweli mtupu so keep in Mind..kwenye experience yako uligundua nini shida ya wao kubadilika kuwa wasumbufu? Maana tafsiri yako umesema huwa wanasumbua ukimaanisha ni tabia endelevu si ndio?
Si kila mtu apa dunia huishia kwenye kundi moja la tabia na wengine naomba tusiishi kwa kukalili alfu neno experience ni chain