Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi
Bodaboda kuna kitu wanaita "change kota", unamkabidhi chombo brand new then anachoenda kukifanya sasa, ukirudi kesho unaweza ukaikataa pikipik yako. Wanabadilisha matairi, ngao, carrier, tank la mafuta wanaweka vya zamani hivyo vipya wanauza.
Mtu mwenye makundi na kusiliza maamuzi na mawazo ya vikundi huwapa kipaumbele kwa watachokisema nae hufatisha umo
 
From my experience hata ukiwa na kijana mzuri unless condition za chombo zinambana tofaut na hesabu labda tuseme mkataba japo wachache sana; chombo kinambadilisha mtu. That's my experience kuwa chombo kinambadilisha hata yule aliye mwema.

Mtu akishapata chombo tu ataleta hesabu vizuri kadri siku zinavyosonga anaona kama anakupa hela bure. Mda mwingine anaitolea sana macho hesabu anayokuletea anaona kama anakunufaisha sana wakati hajui ulipambana vipi kununua chombo. .

Sijamaanisha wewe ni mmoj wapo nimesema kutokana na experience huna haja ya kujitetea...

Hii ni kweli niliwai kua na dereva wangu wa fuso, alikua mwanzoni hesabu inafika vizuri kabla ya safari yoyote anakwambia na kuomba go ahead yako.

Baadae ata mshahara anasema kaa nao tuu bossy ntachukua mwisho wa mwezi unaofata. Siki ya siku niko road naoga gari inapakia mkoa. Kupiga simu anasema yeye kapaki sehemu nyingine anapumzika kurudi kijiweni.

Alikua dereva mzuri sana
 
Habari!

Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu kwa siku. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.

Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
Namba: 0674074563
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar es Salaam.
Nipo Temeke Dar es Salaam
Kama kweli muaminifu temeke nzima umekosa bajaji mpaka uje hapa?
 
Naomba kukushauri kitu,ikiwa kama utapata kwa mtu yote kheri ila ushauri wangu ni kwamba kama una laki tatu na tin no nenda watu wakakukopeshe bajaji wapo hapo tandika majaribio
 
Naomba kukushauri kitu,ikiwa kama utapata kwa mtu yote kheri ila ushauri wangu ni kwamba kama una laki tatu na tin no nenda watu wakakukopeshe bajaji wapo hapo tandika majaribio
Hawezi kuwa na driving license akakosa TIN.

HIZO BAJAJI ZA LAKI TATU NI MPYA??
 
Back
Top Bottom