- Thread starter
- #81
Dar maeneo ya abiola Temeke.Unapatikana dar sehemu gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar maeneo ya abiola Temeke.Unapatikana dar sehemu gani mkuu
Sawa kaka nashukuru nimekuelewa nilikuwa silijui iloMkuu kuanzisha uzi kila siku hakutakusaidia.
Sikukatishi jamaa, ila kuanzisha uzi kila siku hakutakupatia bajaji. Bora uwe unahuisha ule uzi wako kwa kuweka baadhi ya comments kwa chini. Automatically utapop up na kuonekana.
Kuanzisha uzi kila siku ni kuleta usumbufu.
Mungu akajibu hitaji lako.
Siyo kila jambo unalolijua wewe basi wote wanajua. Siyo kila njia unayotumia wewe kutatua changamoto zako za kipato kila mtu anatumiaMkuu kuanzisha uzi kila siku hakutakusaidia.
Sikukatishi jamaa, ila kuanzisha uzi kila siku hakutakupatia bajaji. Bora uwe unahuisha ule uzi wako kwa kuweka baadhi ya comments kwa chini. Automatically utapop up na kuonekana.
Kuanzisha uzi kila siku ni kuleta usumbufu.
Mungu akajibu hitaji lako.
Ni kweli kaka kama mimi sijui mifumo ya humu pamoja na mipangilio ya utaribu yalivyo na pia tunatofautina huelewa. Ina ni pasaa kuelewesha na si mpaka ifike hatua ya kufutiwa post ambao ndo uziSiyo kila jambo unalolijua wewe basi wote wanajua. Siyo kila njia unayotumia wewe kutatua changamoto zako za kipato kila mtu anatumia
Siyo kila mwana jf ana uwezo sawa na mwingine katika kutumia mtandao husika
Tujiepushe sana kuwa na tabia hukumishi
Mengine una yaacha tu ndiyo utanzania na uafrica huoNi kweli kaka kama mimi sijui mifumo ya humu pamoja na mipangilio ya utaribu yalivyo na pia tunatofautina huelewa. Ina ni pasaa kuelewesha na si mpaka ifike hatua ya kufutiwa post ambao ndo uzi
Nashukuru ila kwa uko sina makazi na mji piaUngekuwa unaweza kwenda mkoani, Kati ya kahama au mwanza ningekusaidiaa boss
Unaeza ukasaidiwa kupataa, chumba nitumie no zako pm.Nashukuru ila kwa uko sina makazi na mji pia
Unacomment kwa hisia. Nimempa namna ya kufanya. Sijamhukumu mtu. Nyuzi zake zikiwa nyingi humu nini kitatokea? Kila mtu atampuuzia.Siyo kila jambo unalolijua wewe basi wote wanajua. Siyo kila njia unayotumia wewe kutatua changamoto zako za kipato kila mtu anatumia
Siyo kila mwana jf ana uwezo sawa na mwingine katika kutumia mtandao husika
Tujiepushe sana kuwa na tabia hukumishi
Dr Restart hajahukumu bali ametoa ushauri.Siyo kila jambo unalolijua wewe basi wote wanajua. Siyo kila njia unayotumia wewe kutatua changamoto zako za kipato kila mtu anatumia
Siyo kila mwana jf ana uwezo sawa na mwingine katika kutumia mtandao husika
Tujiepushe sana kuwa na tabia hukumishi
Sawa nashukurukila la kheri
Changamoto ni kiasi cha pesa cha kuanzia huo mkopo na bila kianzio hupati mkopo husikaNdugu kwanini usiende kampuni ya WATU ukachukue pikipiki ya mkopo?
Mkataba ukiisha chombo inakuwa yako
Ndio kaka ila hakuna shida hii ndo mitazamo ya utanzaniaMengine una yaacha tu ndiyo utanzania na uafrica huo
Ameshapatikana?Kina mama anacho kirikuu anatafuta dereva
Alipatikana....!Ameshapatikana?