Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi
Mtu akipata chombo anakuwa too attached anaweza ona chombo ni chake. Experience toka 2013 mpaka leo ni miaka kumi na.

uzuri hesabu zangu huwa naandika kwenye daftari 😀 anyway naoka tunatoka nje ya mada.

Kuna watu huwa wanatoa bajaji humu sana ngoja waje. .
Ni sahihi 🤓
 
Kila la kheri mkuu ,matajiri wenye bajaji hawatakupita hv hv...
 
Bodaboda kuna kitu wanaita "change kota", unamkabidhi chombo brand new then anachoenda kukifanya sasa, ukirudi kesho unaweza ukaikataa pikipik yako. Wanabadilisha matairi, ngao, carrier, tank la mafuta wanaweka vya zamani hivyo vipya wanauza.
 
Hivi ukipewa bajaji na kijiweau route unatafutiwa au unajitafutia?
 
Kwenye uzi wako ongeza na wadhamini kama huna kawatafute utapata chap haja ya moyo wako.
 
Habari!

Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu kwa siku. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.

Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
Namba: 0674074563
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar es Salaam.
Nipo Temeke Dar es Salaam
Gari vp!
 
Back
Top Bottom