Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi

Robby333

Member
Joined
Apr 11, 2020
Posts
58
Reaction score
39
Hello!

Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.

~ Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
~ Namba: 0674074563
~ Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar
~ Nipo Temeke Dar es Salaam
 
Sawa mkuu hope wew ni kijana mzur.......
Hope utakua kijana mzur sio kama wale Wengi wakiwa wanaomba kazi mikono nyuma....
Wakipewa kazi mikono mbele na usumbufu mwingi.....

Hope wewe hautakua ivyo....

All the Best
Vijana wamasumbua sana huwa kabla ya kazi wanakuja mikono nyuma ila baada ya kupata wanaanza dharau. Umempa somo kubwa sana hopefully ataelewa...
 
Nina pikipiki nyingi na pia hapo nyuma nishawah kuwa na bajaji tatu. Madereva huwa wanasumbua nakueleza from experience.
kwenye experience yako uligundua nini shida ya wao kubadilika kuwa wasumbufu? Maana tafsiri yako umesema huwa wanasumbua ukimaanisha ni tabia endelevu si ndio?
Si kila mtu apa dunia huishia kwenye kundi moja la tabia na wengine naomba tusiishi kwa kukalili alfu neno experience ni chain
 
From my experience hata ukiwa na kijana mzuri unless condition za chombo zinambana tofaut na hesabu labda tuseme mkataba japo wachache sana; chombo kinambadilisha mtu. That's my experience kuwa chombo kinambadilisha hata yule aliye mwema.

Mtu akishapata chombo tu ataleta hesabu vizuri kadri siku zinavyosonga anaona kama anakupa hela bure. Mda mwingine anaitolea sana macho hesabu anayokuletea anaona kama anakunufaisha sana wakati hajui ulipambana vipi kununua chombo. .

Sijamaanisha wewe ni mmoj wapo nimesema kutokana na experience huna haja ya kujitetea...
 
Si kwamba najitetea bali kufahamu experience yako ni juu watu au juu ya chombo.

Ila nahitaji kufahamu kwenye huelewa wako wa experience adi unasema mtu anakuwa anaitolea sana macho hesabu. Je ni kweli usemacho au ni mtazamo wa kuhisi huwa ndivyo wao wazavyo?
 
Mtu akipata chombo anakuwa too attached anaweza ona chombo ni chake. Experience toka 2013 mpaka leo ni miaka kumi na.

uzuri hesabu zangu huwa naandika kwenye daftari 😀 anyway naoka tunatoka nje ya mada.

Kuna watu huwa wanatoa bajaji humu sana ngoja waje. .
 
Sawa nashukuru ngojea niwe na subila nisubilie
 
kwenye experience yako uligundua nini shida ya wao kubadilika kuwa wasumbufu? Maana tafsiri yako umesema huwa wanasumbua ukimaanisha ni tabia endelevu si ndio?
Si kila mtu apa dunia huishia kwenye kundi moja la tabia na wengine naomba tusiishi kwa kukalili alfu neno experience ni chain
Wazee wa zamani waliona mengi kwaio kijana anacho kueleza ndugu yangu Gily ni ukweli mtupu so keep in Mind..
So siku zote ishi kuwa prove watu wrong....
Naamin Good people are still alive....
 
Back
Top Bottom