Natafuta Binti (Dada wakusaidia Kazi) Awe na Sifa hizi

Status
Not open for further replies.
Daah! Mkuu mbona umeipeleka dunia haraka namna hiyo? Leo hii bint wa kufanya kazi za ndani kigezo awe amefika form four!!!!
Hizo kazi wanafanya Std 7 na wale ambao hawakusoma au walikimbia shule! Anyway all the best!
 
😆😆😆jamaa amezingua kinoma anamsumbua dogo tangu weekend mpaka leo.....ushawahi kuona mwenye uhitaji wa kazi analazimishwa kupewa kazi??sasa ndo anachofanya huyu jamaa.
Aisee.
Kuwa na heshima kabisa.
Tena ni vizuri ujiheshimu sana sana.
Kama ni wewe ulikuwa unataka kazi you are full ignorant.

Ulitaka nikupe kazi bila kufahamu kwako kwenu?
Sema nalinda Privacy za watu tu.
Mzee acha porojo usipige simu tafuta mtu mwingine basi.kama uliona apokei simu uliendelea kumpigia wa nn??Fanya mambo yako asee
 
Sasa si u sort out the remaining candidates upate wa pili?
 
Hapa kuna kitu zaidi ya kutafutwa binti wa kazi.
We anaetaka kazi apokei simu zako unaendeleaje kumpigia na humjui si mpotezee .....lakini jamaa tangu weekend mpaka leo asubuhi bado anampigia tu si ukuda huo.
 
We anaetaka kazi apokei simu zako unaendeleaje kumpigia na humjui si mpotezee .....lakini jamaa tangu weekend mpaka leo asubuhi bado anampigia tu si ukuda huo.

Iko namna.

Mie nilishakata shauri ni wamalawi kwenda mbele.
 
We anaetaka kazi apokei simu zako unaendeleaje kumpigia na humjui si mpotezee .....lakini jamaa tangu weekend mpaka leo asubuhi bado anampigia tu si ukuda huo.
Kumbe wewe ni Jinsia yako ni Me?
Duh!!
 
Ana sauti nzuri, na anaongea vizuri mno 🤣 nimemwambia nitampigia badae.
😂😂Hiyo baadae utakutana na sauti ya mkewe..kitakachokukuta simoo
 
Unataka kuanzisha danguro? Watu wa mujini hamjambo kwa fursa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…