[emoji38][emoji38][emoji38]jamaa amezingua kinoma anamsumbua dogo tangu weekend mpaka leo.....ushawahi kuona mwenye uhitaji wa kazi analazimishwa kupewa kazi??sasa ndo anachofanya huyu jamaa.
Mzee acha porojo usipige simu tafuta mtu mwingine basi.kama uliona apokei simu uliendelea kumpigia wa nn??Fanya mambo yako asee