uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
- Thread starter
- #81
Unajua kukuza mambo sana.[emoji38][emoji38][emoji38]jamaa amezingua kinoma anamsumbua dogo tangu weekend mpaka leo.....ushawahi kuona mwenye uhitaji wa kazi analazimishwa kupewa kazi??sasa ndo anachofanya huyu jamaa.
Mzee acha porojo usipige simu tafuta mtu mwingine basi.kama uliona apokei simu uliendelea kumpigia wa nn??Fanya mambo yako asee
Halafu nilijua wewe ni mdada kwa style ulivyo react hapa.
Utakuwa unashida sana.
Good thing simu zote nilizopiga kwa ajili ya hii kazi nimezirecord kwa ajili ya reference.
Nimesema pale mwanzoni.
Naheshimu sana Privacy.
Worse hapa unaudanganya umma.
Nimechagua kukupuuza.