Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

si ungesema tu unatafuta mke
Huyu jamaa hataki mke ila anataka kipochi manyoya cha bure mnakulana ila hakuna mkataba. Hii hufanywa sana na wanafunzi wanaosoma nje ya nchi wanashare room ili kuokoa gharama na wanakulana wakiwa na nyegezi
 
Miaka 34 huna familia?au ipo mbali?
 
Mimi natafuta mtu waku share nae nyumba kigamboni. .by then nlikuwa naishi mkoani(Kilimanjaro)ila kwasasa nimeamia Dar.ktk kutafuta nyumba nimepata Kigamboni .nyumba nzima rooms 4,jiko,sebule,store nk nk ina geiti lake lenyewe.kodi ni 300k.
 
Miaka 34 huna familia?au ipo mbali?
Unashangaa miaka 34?
Nenda sinza pale kuna vijana wana 40-46 na vipara juu hawana hata mpango wa kuoa kazi kuvaa mapensi tu na kupiga kilaji viwanja
 
Unashangaa miaka 34?
Nenda sinza pale kuna vijana wana 40-46 na vipara juu hawana hata mpango wa kuoa kazi kuvaa mapensi tu na kupiga kilaji viwanja
Si umtaje tu TID mzee kigogo AKA warioba
 
Unashangaa miaka 34?
Nenda sinza pale kuna vijana wana 40-46 na vipara juu hawana hata mpango wa kuoa kazi kuvaa mapensi tu na kupiga kilaji viwanja
huyo shezi sana anashangaaaa 34 mbona umli mdogo sana
 
Mimi natafuta mtu waku share nae nyumba kigamboni. .by then nlikuwa naishi mkoani(Kilimanjaro)ila kwasasa nimeamia Dar.ktk kutafuta nyumba nimepata Kigamboni .nyumba nzima rooms 4,jiko,sebule,store nk nk ina geiti lake lenyewe.kodi ni 300k.
ww jinsia gani tukusaidie
 
Binti anaweza kulinda nyumba dhidi ya wezi?
 
Iko kijumba kizima au kibovu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili suala la usalama ungepata wa kiume ingependeza zaidi!!
 
Ukishakula tunda na Kodi utalipa wewe mwenyewe na kumfukuza hautaweza maana anabaki kuwa mpangaji wako mwenzio πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ dogo tafuta hela wanawake wanajitongozesha siku hizi acha kuhangaika utalogwa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…