Natafuta boyfriend umri kuanzia miaka 25 hadi 30

Natafuta boyfriend umri kuanzia miaka 25 hadi 30

Barbie_dolly

Member
Joined
Sep 12, 2025
Posts
15
Reaction score
55
Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k

Sifa zangu.

Najishughulisha

Mpole

Siyo muongeaji sana

Mkweli na muwazi

Kimo cha kawaida

Rangi maji ya kunde

Mwili wa kawaida

Sifa za rafiki nimtakaye

Awe amejiajiri au kuajiriwa

Asiwe muongeaji sana

Urefu wa wastani

Awe mweupe au maji ya kunde

Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.

Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.

Awe mkazi wa Dar

Asiwe ameoa

Karibu PM kama upo serious na interested.
 
bikra vipi ipo?
 
hana vipengere vingi binti huyu wenye sifa changamkeni
Amenyooka hana vipengele labda vipengele uje navyo wewe tajiri.
Sema huyu binti mimi amenishangaza kitu kimoja umri wake bado uko chini sio wa kuwa desperate kutafuta,kwamba kwenye maeneo yote anayopita hakuna watu anaokutana nao wakawa interested na yeye.
Angekuwa ni mshanfazi sawa nisingemlaumu maana ni jua la jioni ila kwa yeye bado alfajiri sasa sijui ana changamoto gani inayompelekea kyfanya hivyo
 
Tahadhari Kabla ya Hatari:-
Kwa majira ya sasa kama wee ni mkosoaji wa mafisadi tuliza upwiru wako kwanza.

Utazama PM kichwa kichwa kumbe ni mtego wa panya, afu wanachambua na kutengeneza listi wanaotakiwa na watekaji huko, anakuwa anadakwa mkosoaji mmoja baada ya mwingine kimya kimya..
 
Back
Top Bottom