hana vipengere vingi binti huyu wenye sifa changamkeni
Hapo kwenye mweupe nimekosa sifa mimi ni cheusi mangalaHabari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k
Sifa zangu.
Najishughulisha
Mpole
Siyo muongeaji sana
Mkweli na muwazi
Kimo cha kawaida
Rangi maji ya kunde
Mwili wa kawaida
Sifa za rafiki nimtakaye
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Asiwe muongeaji sana
Urefu wa wastani
Awe mweupe au maji ya kunde
Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.
Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.
Awe mkazi wa Dar
Asiwe ameoa
Karibu PM kama upo serious na interested.
Bado natafuta kipengele cha mrefu mweusi,Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k
Sifa zangu.
Najishughulisha
Mpole
Siyo muongeaji sana
Mkweli na muwazi
Kimo cha kawaida
Rangi maji ya kunde
Mwili wa kawaida
Sifa za rafiki nimtakaye
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Asiwe muongeaji sana
Urefu wa wastani
Awe mweupe au maji ya kunde
Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.
Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.
Awe mkazi wa Dar
Asiwe ameoa
Karibu PM kama upo serious na interested.
Nimeshafeli mtihani hapaHabari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k
Sifa zangu.
Najishughulisha
Mpole
Siyo muongeaji sana
Mkweli na muwazi
Kimo cha kawaida
Rangi maji ya kunde
Mwili wa kawaida
Sifa za rafiki nimtakaye
Awe amejiajiri au kuajiriwa ✅
Asiwe muongeaji sana✅
Urefu wa wastani ❌
Awe mweupe au maji ya kunde ❌
Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi. ✅
Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia. ❌
Awe mkazi wa Dar ✅
Asiwe ameoa ❌
Karibu PM kama upo serious na interested.
My thoughts immediately after seeing the post, dangerously new ID.Tahadhari Kabla ya Hatari:-
Kwa majira ya sasa kama wee ni mkosoaji wa mafisadi tuliza upwiru kwanza.
Utazama PM kichwa kichwa kumbe ni mtego wa panya, afu wanachambua na kutengeneza listi huko, anakuwa anadakwa mkosoaji mmoja baada ya mwingine kimya kimya..
Hayo ni mawazo yakoHakuna Binti mwenye sifa kama zako arf umkute jf
Hapa Kuna kitu hakipo sawa
Vipi, hupendi Boyfriend mzee kama mimi?Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k
Sifa zangu.
Najishughulisha
Mpole
Siyo muongeaji sana
Mkweli na muwazi
Kimo cha kawaida
Rangi maji ya kunde
Mwili wa kawaida
Sifa za rafiki nimtakaye
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Asiwe muongeaji sana
Urefu wa wastani
Awe mweupe au maji ya kunde
Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.
Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.
Awe mkazi wa Dar
Asiwe ameoa
Karibu PM kama upo serious na interested.
Ngoja tujaribu, inawezekana Mungu ameniletea mke kwa njia hii
Siwezi kuwafanyia binadamu wenzangu unyama wa namna hiyo, nia yangu ni kutafuta rafiki na si vinginevyo.Tahadhari Kabla ya Hatari:-