Barbie_dolly
Member
- Sep 12, 2025
- 15
- 55
- Thread starter
- #61
Hapana wazee sihitajiVipi, hupendi Boyfriend mzee kama mimi?
Hapana wazee sihitajiVipi, hupendi Boyfriend mzee kama mimi?
Naimani ntapata, sitawajali hawa wanaonikatisha tamaa.Bora usingeomba sio Kwa comment hizi ila Kuna mmoja kasema Kwa sifa zako huwez mkuta jf?? 😀😀 Eeh hizi dharau sasa
Acha hayo mawazo hasiSisi wa Ntwara tunasema ntego huu.
Jamani ntego huu. Atatekwa ntu.
Nimecheka kidogo nidondoke chini,ilinijia image kabisa ya sauti ya kimakonde nikawa kama nakuona kabisa unavyoongeaSisi wa Ntwara tunasema ntego huu.
Jamani ntego huu. Atatekwa ntu.
BadoUmepata ?
Kila lakher na Hawa wasiojulikanaNaimani ntapata, sitawajali hawa wanaonikatisha tamaa.
Ngoja nijilipue😎Bado
Okay,Siwezi kuwafanyia binadamu wenzangu unyama wa namna hiyo, nia yangu ni kutafuta rafiki na si vinginevyo.
Sawa kama umenikataa. Ila tu ukumbuke na wewe ni mzee mtarajiwa.Hapana wazee sihitaji
Barbie niwie radhi nyakati ngumu hizi. Kila la kheri upate mwenza mwema. Mimi Sina vigezo karibu vyote ningekuja PM kutegua 'ntego huu'.Acha hayo mawazo hasi
Urefu na rangi vimenitoaHabari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k
Sifa zangu.
Najishughulisha
Mpole
Siyo muongeaji sana
Mkweli na muwazi
Kimo cha kawaida
Rangi maji ya kunde
Mwili wa kawaida
Sifa za rafiki nimtakaye
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Asiwe muongeaji sana
Urefu wa wastani
Awe mweupe au maji ya kunde
Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.
Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.
Awe mkazi wa Dar
Asiwe ameoa
Karibu PM kama upo serious na interested.
HelloBado
Kaka nisamehe, nilikuwa nanjilinji na hakukuwa na internet 😂😁Intelligent businessman deal nyingine tunaitana ila izi hapana au sio
Ngoja niende PM nishachoka marafiki msionipa new ideasKaka nisamehe, nilikuwa nanjilinji na hakukuwa na internet 😂😁