Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Nimekidhi vyote. Ngoja nije nijue your hobbies na interest nione kama tutaendana.Bado sijapata best karibu kama upo Dar na umekidhi vigezo vingine hapo juu
Nimekidhi vyote. Ngoja nije nijue your hobbies na interest nione kama tutaendana.Bado sijapata best karibu kama upo Dar na umekidhi vigezo vingine hapo juu
Kwani hii ni ID yake mpya?
Ni mchangiaji wa jf wa muda mrefu tu.Amenyooka hana vipengele labda vipengele uje navyo wewe tajiri.
Sema huyu binti mimi amenishangaza kitu kimoja umri wake bado uko chini sio wa kuwa desperate kutafuta,kwamba kwenye maeneo yote anayopita hakuna watu anaokutana nao wakawa interested na yeye.
Angekuwa ni mshanfazi sawa nisingemlaumu maana ni jua la jioni ila kwa yeye bado alfajiri sasa sijui ana changamoto gani inayompelekea kyfanya hivyo
Both team to scoreIla Barbie_dolly mbona kama unatafuta watu wawili tofauti, yani mwenye hofu ya Mungu halafu awe mnywaji?
Wajumbe hii imekaaje?
Selikavu adriz Intelligent businessman dosho12 Edo kissy
Walioko JF Wana sifa gani?Hakuna Binti mwenye sifa kama zako arf umkute jf
Hapa Kuna kitu hakipo sawa
UJobless unanikosesha vingi😂🙌.Ila Barbie_dolly mbona kama unatafuta watu wawili tofauti, yani mwenye hofu ya Mungu halafu awe mnywaji?
Wajumbe hii imekaaje?
Selikavu adriz Intelligent businessman dosho12 Edo kissy
😂😂🙌Both team to score
Una ufala mwingi bro 😂😂Both team to score
007 acha binti apate wa kumfaaNi mchangiaji wa jf wa muda mrefu tu.
Kama na id mpya.
Kwa hiyo unamaanisha anatuigizia umri alioutaja sio wa kweli amaNi mchangiaji wa jf wa muda mrefu tu.
Kama na id mpya.
Hapo contacts list inahitajika au sio ?Tahadhari Kabla ya Hatari:-
Kwa majira ya sasa kama wee ni mkosoaji wa mafisadi tuliza upwiru kwanza.
Utazama PM kichwa kichwa kumbe ni mtego wa panya, afu wanachambua na kutengeneza listi huko, anakuwa anadakwa mkosoaji mmoja baada ya mwingine kimya kimya..
Nimemfuata bana daaah ana vipengele kibao mara oooh sijui mambo ya kupanga chumba,, mara hv mara vile ...
Nipo hapa ..
Unaweza kua umri wa kweli, ila trust me hutomuweza.Kwa hiyo unamaanisha anatuigizia umri alioutaja sio wa kweli ama