Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Kila la kheri.
Heee kumekucha😅 wamekufanyann tena mwanetu🫢Naikataa ndoa,mahusiano ya aina yeyote na mwanamke mpaka ile siku ntakufa.kuongea ukweli wanawake na wachukia ata sina hamu nao.
Mitano tena
Bado sijapata best karibu kama upo Dar na umekidhi vigezo vingine hapo juuBarbie_dolly nije Pm au ushapata friend.
Pole best, utapata wa kuendana nayeUrefu na rangi vimenitoa
Sawa best naelewa kuwa nyakati ni mbaya lakini mimi sipo hivyo usifanye mwenye nia ya dhati akaghairiBarbie niwie radhi nyakati ngumu hizi. Kila la kheri upate mwenza mwema. Mimi Sina vigezo karibu vyote ningekuja PM kutegua 'ntego huu'.
Ni kweli lakini mimi bado sana hadi miaka 30 ijayoSawa kama umenikataa. Ila tu ukumbuke na wewe ni mzee mtarajiwa.
KaribuNgoja nijilipue😎
Pole walikufanyaje wanawake?Naikataa ndoa,mahusiano ya aina yeyote na mwanamke mpaka ile siku ntakufa.kuongea ukweli wanawake na wachukia ata sina hamu nao.
Huwa wanasahaulikaga kwani?Vijana weupe mmekumbukwa
at your own risk bro.Ngoja niende PM nishachoka marafiki msionipa new ideas
Una uhakika utakuwepo miaka 30 ijayo? Maisha ndiyo haya haya! Shauri yako.Ni kweli lakini mimi bado sana hadi miaka 30 ijayo
sawa mkewangu nitamuoa nayeye ainjoi maisha usihofuNiko tayari tuolewe wawili na mumewangu aliekata kamba uwe mke mwenza aliekatakamba njoo uoe mke wapili anisaidie
Kwa uwezo wa Mungu naimani ntakuwepoUna uhakika utakuwepo miaka 30 ijayo? Maisha ndiyo haya haya! Shauri yako.