Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,507
- 34,689
Hataki kupitwa😃😃Una ufala mwingi bro 😂😂
Hataki kupitwa😃😃Una ufala mwingi bro 😂😂
Mwambie akutumie nauli😂Sifa zote ninazo ila nipo Singida
Unawakatisha wenzio tamaa, kwanini asimuweze binti mdogo vile!Unaweza kua umri wa kweli, ila trust me hutomuweza.
kila la kheri, nyeto sasa baasiii.....Dah hatimaye Mungu amenipa mke
Huwa wanawake wanasema wanapenda weusi warefu ,lakini wanataka watoto weupe!Huwa wanasahaulikaga kwani?
Evelyn Salt siku hizi umekuwa bro tena? 😅Huyu hana kipengele labda kipengele uje nacho wewe
Sasa ambao tuna vigezo vyote kasoro rangi ni weusi napo hatutakiwi?Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k
Sifa zangu.
Najishughulisha
Mpole
Siyo muongeaji sana
Mkweli na muwazi
Kimo cha kawaida
Rangi maji ya kunde
Mwili wa kawaida
Sifa za rafiki nimtakaye
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Asiwe muongeaji sana
Urefu wa wastani
Awe mweupe au maji ya kunde
Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.
Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.
Awe mkazi wa Dar
Asiwe ameoa
Karibu PM kama upo serious na interested.
Nmekataliwa bhana 😂 Ngoja niendelee kumsubiri mke wangu sahihi
Nifundishe na mimi namna ya kumfikia nikajaribu bahati yanguNmekataliwa bhana 😂 Ngoja niendelee kumsubiri mke wangu sahihi
duh, kigezo gani kimekukwamisha mkuu? au cha asiwe muongeaji sanaNmekataliwa bhana 😂 Ngoja niendelee kumsubiri mke wangu sahihi
Dah ! Kaka una utani na Muimba SINGELI 😁
Acha tu braza, ni story ndefu.....Evelyn Salt siku hizi umekuwa bro tena? 😅
😂😂😂😂Nimemfuata bana daaah ana vipengele kibao mara oooh sijui mambo ya kupanga chumba,, mara hv mara vile ...
Alafu mtu hata hamjafikisha week anasema kazi nayofanya haoni kama ina faida
Ah bc tuu nadhani haikuwa bahati yangu la la nmezidiwa qualification na waungwana humu 😎duh, kigezo gani kimekukwamisha mkuu? au cha asiwe muongeaji sana