Ndugu kwani umeachana na kiss ov love a.k.a waifu material?UJobless unanikosesha vingi😂🙌.
Hapo kwenye unywaji na hofu ya Mungu aje aeleze vizuri.
Heee! Kumbe tulikuwa tunadate😂🤭 nilishasahau
Kumekucha 😂Heee! Kumbe tulikuwa tunadate😂🤭 nilishasahau
Sawa mzee wa kijiji.Huyu mchumba wa mwanangu....usikute rafiki yake mwanangu shuleni.
Nimekutafuta San kumbe kabadili jina😂😂, ungemuuliza yeye ingekuwa vizuri zaidi.
Mchumba mambo, unasahuje kirahisi hivo?🙌Heee! Kumbe tulikuwa tunadate😂🤭 nilishasahau
Una roho nzuri saana. Unaniita nipate mchumba.Sawa mzee wa kijiji.
Mambo safi......unajua mambo ni mengi..... na kichwa kina vitu vingi, hata huku siingiagi sana nowadaysMchumba mambo, unasahuje kirahisi hivo?🙌
Uwe unazingua kunijulia hali pamoja na kumsumbua Razorblade 😂Mambo safi......unajua mambo ni mengi..... na kichwa kina vitu vingi, hata huku siingiagi sana nowadays
Ntafanya hivyo🫠Uwe unazingua kunijulia hali pamoja na kumsumbua Razorblade 😂
Lina udambu udambu 😂Nimekutafuta San kumbe kabadili jina😂😂, ungemuuliza yeye ingekuwa vizuri zaidi.
Sema jina la sasa lipo ki sex zaidi😂🙌
Fanyeni kuwasiliana nje ya JF mie mwenyeww humu nimekiwa kama mkimbizi 😂Uwe unazingua kunijulia hali pamoja na kumsumbua Razorblade 😂
kyagata na Isenye wamekizi vigezo vyote hapo juu isipokuwa hicho cha "Awe mkazi wa Dar". Je uko tayari kuwakubari hawa vijana waliopunguliwa hicho kigezo au ni mahususi ili kuwabagua njemba za mikoani?Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k
Sifa zangu.
Najishughulisha
Mpole
Siyo muongeaji sana
Mkweli na muwazi
Kimo cha kawaida
Rangi maji ya kunde
Mwili wa kawaida
Sifa za rafiki nimtakaye
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Asiwe muongeaji sana
Urefu wa wastani
Awe mweupe au maji ya kunde
Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.
Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.
Awe mkazi wa Dar
Asiwe ameoa
Karibu PM kama upo serious na interested.