Natafuta boyfriend umri kuanzia miaka 25 hadi 30

Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k

Sifa zangu.

Najishughulisha

Mpole

Siyo muongeaji sana

Mkweli na muwazi

Kimo cha kawaida

Rangi maji ya kunde

Mwili wa kawaida

Sifa za rafiki nimtakaye

Awe amejiajiri au kuajiriwa

Asiwe muongeaji sana

Urefu wa wastani

Awe mweupe au maji ya kunde

Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.

Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.

Awe mkazi wa Dar

Asiwe ameoa

Karibu PM kama upo serious na interested.
Sasa kuoa kunahusikaje hapo na umesema rafiki

Na pia kuajiriwa au kujiajiri kunahusikaje hapo wakati ni rafiki

Nishaona hapo ATM inasakwa
 
Kabla ya yote, ulishiriki kwenye maandamano ya kukomboa nchi ?
 
Hivi sikuhizi hakuna penpals au ndio hii chatpals
 
Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k

Sifa zangu.

Najishughulisha

Mpole

Siyo muongeaji sana

Mkweli na muwazi

Kimo cha kawaida

Rangi maji ya kunde

Mwili wa kawaida

Sifa za rafiki nimtakaye

Awe amejiajiri au kuajiriwa

Asiwe muongeaji sana

Urefu wa wastani

Awe mweupe au maji ya kunde

Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.

Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.

Awe mkazi wa Dar

Asiwe ameoa

Karibu PM kama upo serious na interested.
Hie mambo mrembo naomba unicheki kwa namba hii 0759938927 tuyajenge
 
Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k

Sifa zangu.

Najishughulisha

Mpole

Siyo muongeaji sana

Mkweli na muwazi

Kimo cha kawaida

Rangi maji ya kunde

Mwili wa kawaida

Sifa za rafiki nimtakaye

Awe amejiajiri au kuajiriwa

Asiwe muongeaji sana

Urefu wa wastani

Awe mweupe au maji ya kunde

Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.

Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.

Awe mkazi wa Dar

Asiwe ameoa

Karibu PM kama upo serious na interested.
Interested
 
NImekukosaa niko mwanza ila sifa zote zingine ninazoo
 
Back
Top Bottom