Natafuta boyfriend umri kuanzia miaka 25 hadi 30

Natafuta boyfriend umri kuanzia miaka 25 hadi 30

Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k


Sifa zangu.

Najishughulisha

Mpole

Siyo muongeaji sana

Mkweli na muwazi

Kimo cha kawaida

Rangi maji ya kunde

Mwili wa kawaida

Sifa za rafiki nimtakaye

Awe amejiajiri au kuajiriwa

Asiwe muongeaji sana

Urefu wa wastani

Awe mweupe au maji ya kunde

Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.

Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.

Awe mkazi wa Dar

Asiwe ameoa

Karibu PM kama upo serious na interested.
Mambo, naomba unichek pm mana mm nashindwa kuanza kukuchek naona pm yangu haipo Sawa
 
Tahadhari Kabla ya Hatari:-
Kwa majira ya sasa kama wee ni mkosoaji wa mafisadi tuliza upwiru kwanza.

Utazama PM kichwa kichwa kumbe ni mtego wa panya, afu wanachambua na kutengeneza listi huko, anakuwa anadakwa mkosoaji mmoja baada ya mwingine kimya kimya..
Una akili. Nashauri uanzishe uzi kabisa watu wajue.
 
Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k


Sifa zangu.

Najishughulisha

Mpole

Siyo muongeaji sana

Mkweli na muwazi

Kimo cha kawaida

Rangi maji ya kunde

Mwili wa kawaida

Sifa za rafiki nimtakaye

Awe amejiajiri au kuajiriwa

Asiwe muongeaji sana

Urefu wa wastani

Awe mweupe au maji ya kunde

Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.

Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.

Awe mkazi wa Dar

Asiwe ameoa

Karibu PM kama upo serious na interested.
Scott junior Acha ndugu yangu kulila lia. Mchuchu kajileta huyu hapa. Ruka naye. Ref: Nyumbani wamenipa 2 yrs nipeleke babe mama
 
Back
Top Bottom