Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

nkandereni

Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
6
Reaction score
8
Habari wadau

Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu.

Mimi ni:
Mwanamke umri 33-35
Mkristo
Elimu ya chuo
Mfanyakazi
Mcha Mungu
focused
loving and caring


mkaka awe:
umri 33-38
Mkristo
Awe na hofu ya Mungu
Anayejishughulisha kutafuta kipato
Elimu angalau chuo
Mwenye moyo wa upendo na huruma.
 
hiyo age uliyosema sio tena mkaka huyo mbaba kabisa anyway pambana alafu muwe mnaweka picha jamani kidogo zinatupa hamasa kuja pm
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwenye elimu ya chuo una maana ipi kati ya vocation training or college's na University?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…