Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

Sasa ukitafuta mkaka si mtakuwa ndugu! Mtafute mpenzi kabisa!!

Sijui hata nimeandika nini! Nadhani sumu niliyokunywa inanifanya nianze kucheza salsa.
 
Ushauri : kwa umri wako huo tafuta 40+ atakufaa sana.. Huyo ameshavuka foolish age
Habari wadau

Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu.

Mimi ni:
Mwanamke umri 33-35
Mkristo
Elimu ya chuo
Mfanyakazi
Mcha Mungu
focused
loving and caring


mkaka awe:
umri 33-38
Mkristo
Awe na hofu ya Mungu
Anayejishughulisha kutafuta kipato
Elimu angalau chuo
Mwenye moyo wa upendo na huruma.

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom