Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

Sasa hata umri wako haujui vizuri,serious????
Habari wadau

Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu.

Mimi ni:
Mwanamke umri 33-35
Mkristo
Elimu ya chuo
Mfanyakazi
Mcha Mungu
focused
loving and caring


mkaka awe:
umri 33-38
Mkristo
Awe na hofu ya Mungu
Anayejishughulisha kutafuta kipato
Elimu angalau chuo
Mwenye moyo wa upendo na huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye dini na umri hapa aisee nimekukosa kwakweli[emoji119][emoji119][emoji119]
Habari wadau

Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu.

Mimi ni:
Mwanamke umri 33-35
Mkristo
Elimu ya chuo
Mfanyakazi
Mcha Mungu
focused
loving and caring


mkaka awe:
umri 33-38
Mkristo
Awe na hofu ya Mungu
Anayejishughulisha kutafuta kipato
Elimu angalau chuo
Mwenye moyo wa upendo na huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom