black hawk87
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 678
- 1,244
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Utaishia kukutana na viumbe wa ajabu..Tatizo la wadada wengi wa jf wazinguaji unamfata pm vigezo vyote unavyo ......mnaanza kuchata na kubadilishana number
Kumbe keshawakubalia zaidi ya wa watatu anaangalia yupi mwenye kingi , anayetoa sana jina halisi atakuficha siku unakuja kulijua jina lake siku unataka kumtumia pesa , Tigo,mpesa au Tpesa ndio jina kamili unalifahamu
Muda mwingi mpk umuuanze wewe usipomuanza mtakaa hata mwezi ,
Nilikuwa serious sana kutafuta mwezi wa maisha ila naona ni kujichosha tu !! Hamna lolote utoto bado ni mwingi kwa wengi
sent from toyota Allex
Habari wadau
Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu.
Mimi ni:
Mwanamke umri 33-35
Mkristo
Elimu ya chuo
Mfanyakazi
Mcha Mungu
focused
loving and caring
mkaka awe:
umri 33-38
Mkristo
Awe na hofu ya Mungu
Anayejishughulisha kutafuta kipato
Elimu angalau chuo
Mwenye moyo wa upendo na huruma.
Daah kwahyo ushawahi kujitosa kama mabaharia wanavyofanya hapaWenye mioyo migumu utawapata...
Mimi toka nikutane na kazi moja huku,uso hauonekani umeanzia wapi,nywele zimeungua,macho yapo kama wale wabibi wanaopewaga shutma za uchawi kwenye baadhi ya vijiji.....nilikoma aosee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu mkuu
Njoo pm bebiHabari wadau
Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu.
Mimi ni:
Mwanamke umri 33-35
Mkristo
Elimu ya chuo
Mfanyakazi
Mcha Mungu
focused
loving and caring
mkaka awe:
umri 33-38
Mkristo
Awe na hofu ya Mungu
Anayejishughulisha kutafuta kipato
Elimu angalau chuo
Mwenye moyo wa upendo na huruma.
Una chura ya maana lakini? Ebu tosheleza maelezo kwanza.Habari wadau
Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu.
Mimi ni:
Mwanamke umri 33-35
Mkristo
Elimu ya chuo
Mfanyakazi
Mcha Mungu
focused
loving and caring
mkaka awe:
umri 33-38
Mkristo
Awe na hofu ya Mungu
Anayejishughulisha kutafuta kipato
Elimu angalau chuo
Mwenye moyo wa upendo na huruma.