Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

Mkiwa in between 20-27 mnalinga na kutuoNa wanaume wote ni vifurushi ambao hatujielewi.
Umri ukisogea na huko chini kukianza kuzeeka mnajifanya kulegeza masharti Kama world bank.


Sasa na sisi wanaume tumejiapiza wanawake Kama Nyie ni wa kuchakatwa papuchi mpaka mkome halafu tunawaacha solemba Hadi mzeeke ili muwe funzo kwa vizazi vijavyo. Shwaini wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hata sisi leo tumekumbukwa!!
 
Anthonia Orji anasema:
Mwanaume mmoja mwenye ndoa alimpa date mchepuko na kumwambia:"baby nambie maneno yatakayo ongeza mapigo ya moyo wangu." Mchepuko ukamjibu: "mkeo ameketi hapa nyuma yetu." [emoji16] #KSK_Balozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la wadada wengi wa jf wazinguaji unamfata pm vigezo vyote unavyo ......mnaanza kuchata na kubadilishana number

Kumbe keshawakubalia zaidi ya wa watatu anaangalia yupi mwenye kingi , anayetoa sana jina halisi atakuficha siku unakuja kulijua jina lake siku unataka kumtumia pesa , Tigo,mpesa au Tpesa ndio jina kamili unalifahamu

Muda mwingi mpk umuuanze wewe usipomuanza mtakaa hata mwezi ,

Nilikuwa serious sana kutafuta mwezi wa maisha ila naona ni kujichosha tu !! Hamna lolote utoto bado ni mwingi kwa wengi

sent from toyota Allex
Utaishia kukutana na viumbe wa ajabu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila lakheri
Habari wadau

Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu.

Mimi ni:
Mwanamke umri 33-35
Mkristo
Elimu ya chuo
Mfanyakazi
Mcha Mungu
focused
loving and caring


mkaka awe:
umri 33-38
Mkristo
Awe na hofu ya Mungu
Anayejishughulisha kutafuta kipato
Elimu angalau chuo
Mwenye moyo wa upendo na huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye mioyo migumu utawapata...

Mimi toka nikutane na kazi moja huku,uso hauonekani umeanzia wapi,nywele zimeungua,macho yapo kama wale wabibi wanaopewaga shutma za uchawi kwenye baadhi ya vijiji.....nilikoma aosee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah kwahyo ushawahi kujitosa kama mabaharia wanavyofanya hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muachage kuringa ringa mkiwa wadogo wadogo, wabichi Wabichi
Elimu ya chuo imewakosesha nafasi watu wengi sana ungeweka angalau elimu ya la saba
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Habari wadau

Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu.

Mimi ni:
Mwanamke umri 33-35
Mkristo
Elimu ya chuo
Mfanyakazi
Mcha Mungu
focused
loving and caring


mkaka awe:
umri 33-38
Mkristo
Awe na hofu ya Mungu
Anayejishughulisha kutafuta kipato
Elimu angalau chuo
Mwenye moyo wa upendo na huruma.
Njoo pm bebi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau

Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu.

Mimi ni:
Mwanamke umri 33-35
Mkristo
Elimu ya chuo
Mfanyakazi
Mcha Mungu
focused
loving and caring


mkaka awe:
umri 33-38
Mkristo
Awe na hofu ya Mungu
Anayejishughulisha kutafuta kipato
Elimu angalau chuo
Mwenye moyo wa upendo na huruma.
Una chura ya maana lakini? Ebu tosheleza maelezo kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom