EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
nikitumia dawa hiyo nikimwambia mtu jambo anikubalie na asikatae,je dawa ya namna hii huwa ipo
Yes dawa hiyo ni pesa.nikitumia dawa hiyo nikimwambia mtu jambo anikubalie na asikatae,je dawa ya namna hii huwa ipo
ndio mnavyodanganyana hivyo mtaani?Utakuwa dalali wewe. Kwasababu kuna baadhi yao huwa wanatumia dawa kwenye kazi zao. Akikugusa tuu mkono mfano kusalimiana, lazima biashara ifanyike
funguka babaKuna kijiti kinaitwa ROHO MOJA nasikia ndo kazi yake
kwa shughuli yangu pesa haifui dafuIpo mkuu inaitwa “pesa” hii unaihesabu tu wakati unawasilisha takwa lako kwa mtu husika kisha unachomoa noti kadhaa unamkabidhi
yup naahitaji dawa ya mfumo huoUtakuwa dalali wewe. Kwasababu kuna baadhi yao huwa wanatumia dawa (kijiti) kwenye kazi zao. Akikugusa tuu mkono mfano kusalimiana, lazima biashara ifanyike
Namba iko wapi unataka nitapeliChukua namba zangu
Dah umequote sms ya mwaka juziNamba iko wapi unataka nitapeli
Unayo dawa?Dah umequote sms ya mwaka juzi