mbuzi wa mshenga
Senior Member
- Oct 28, 2016
- 160
- 173
SkindemNatumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SkindemNatumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
kuna machoko wengi kama ninyi wa aina yako? acheni uchoko,mwogopeni Mungu au la madhara yatawapata.Hiyo ni kwa ajili yenu nyie machoko,muache kupelekeana moto japo mmepewa ruhusa ya kwenda kubarikiwa.
Ilkuwaje kuwaje mpaka ukajiangalia huko kama Kuna utandu ...au uliinamishwa ukaambiwa una utandu!??Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
Wewe endelea tu kupelekewa moto,usijinadi hapa indirect.kuna machoko wengi kama ninyi wa aina yako? acheni uchoko,mwogopeni Mungu au la madhara yatawapata.
never on earth will that happen, ni ushetani nisiopenda hata kuusikia. ila zanzibar, tanga, mombasa ndio maeneo yenu. acheni uchoko.ni dhambi.Wewe endelea tu kupelekewa moto,usijinadi hapa indirect.
Umeacha kufanyajeNimeacha ndio maana natafuta dawa
Vina fanyajeHapana haviwashi
Picha Ingetusaidia kwa sisi Wana taaluma tujue Cha kushaur otherwise aende hospital haraka.Weka picha
Nataka kuviondoa tuVina fanyaje
Nashindwa kuweka picha ipo sehemu mbaya karibu na haja kubwa nitavunja sheria za humuPicha Ingetusaidia kwa sisi Wana taaluma tujue Cha kushaur otherwise aende hospital haraka.
"Mficha maradhi kifo humuumbua"
Nashindwa kuweka vipo karibu na haja kubwa nitavunja sheria za humuWeka picha
Mchuchukue mumeo mkabarikiwe,ni ruksa kwa sasa,hao mabwana zako ndio wanalazimisha mpelekeane moto,nchi itakayopinga inawekewa vikwazo na vitisho,refer Museven alivyowapiga mkwala machoko.never on earth will that happen, ni ushetani nisiopenda hata kuusikia. ila zanzibar, tanga, mombasa ndio maeneo yenu. acheni uchoko.ni dhambi.
Watu mnamwaga uzoefu..😊Hii inasababishwa na kipere au vipele vidogo vidogo na vinakuwa vinawasha sana au ww tatizo lipoje
mimi sijawahi kuwa mkatoliki tangu nizaliwe. huyo papa labda ni kiongozi wako sio wangu. Mimi nimeokoka, namwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yangu, alikufa kwa ajili yangu na yako, alimwaga damu akalipa garama ya ukombozi wako, yakupata umpokee moyoni mwako ili upone moto wa milele. huko mliko mnajidanganya na mnasali na mashetani, sehemu yenu ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti. huu ni ushauri wangu kwako wa bure kabisa.Mchuchukue mumeo mkabarikiwe,ni ruksa kwa sasa,hao mabwana zako ndio wanalazimisha mpelekeane moto,nchi itakayopinga inawekewa vikwazo na vitisho,refer Museven alivyowapiga mkwala machoko.
YOHANA 5:36mimi sijawahi kuwa mkatoliki tangu nizaliwe. huyo papa labda ni kiongozi wako sio wangu. Mimi nimeokoka, namwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yangu, alikufa kwa ajili yangu na yako, alimwaga damu akalipa garama ya ukombozi wako, yakupata umpokee moyoni mwako ili upone moto wa milele. huko mliko mnajidanganya na mnasali na mashetani, sehemu yenu ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti. huu ni ushauri wangu kwako wa bure kabisa.
tafsiri ya Mungu aliyoitoa mood, ni tofauti kabisa na ilivyo sahihi, ndio maana huwa tunasema mmepotezwa.YOHANA 5:36
"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe,mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka kwa Baba,
nayo hukumu yangu ni ya haki,nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe bali apendavyo yule aliyenituma"
Hivi Mungu anaweza kutumwa? anatumwa na nani?
Soma maandiko wewe mwenyewe mlokole wewe,sio unasomewa tu na wewe umekaa kama Jiwe tu.
Nimekupa Aya kutoka kwenye kitabu chenu halafu wewe unaniletea hizi hadithi za Sungura na Fisi?tafsiri ya Mungu aliyoitoa mood, ni tofauti kabisa na ilivyo sahihi, ndio maana huwa tunasema mmepotezwa.
Mungu ni mmoja tu, ina anajifunua kwa namna tatu, amejidhihirisha kama Baba, amejidhihirisha kama Roho na amejidhihirisha kama Mwana wa Mungu. Maana ya mwana wa mungu ni Mtu aliye na asili ya Mungu ndani yake. na najua shida yako hapa ni Yesu kwanini aitwe Mungu. kwa kukusaidia, Mungu ni Roho na anaweza kutokea kwenye chochote, anaweza kuvaa mwili wowote. alivaa mwili wa Mwanadamu akajitokeza kama Yesu, ila Roho ni ile ile ya Mungu, na baada ya mwili uliokua umevaliwa kupaa, akaja kama Roho Mtakatifu pia. ni nafsi tu kama ulizo nazo wewe. hapo ulipo una mwili huo unaofanyia ugaidi na kufugia majini, pia una roho ambayo haionekani, na una nafsi ambayo ndo ina hizo hisia zako, kwasababu wewe ni mwanadamu huwezi kujihudhurishwa kwa namna mbalimbali, ila Mungu anaweza kujihudhurisha kwa namna mbalimbali kama nilivyoeleza ila ni yeye yule mmoja, sio wawili wala watatu.
na kwasababu alivaa mwili (though roho ni ile ya mbinguni) mwili ule ilikuwa halali umwite Mungu baba kwasababu alikuwa anaongea kimwili sio kiroho, kimwili kwasababu aliuwepo hapahapa duniani anaishi kama sisi. mwili uliovaa roho ya Mungu ulitaka aongeeje sasa?
yote katika yote, chukua uislam weka upande mmoja, chukua ukristo weka upande mwingine, hata kwa matendo tu na matunda, ipo wazi, dini yenu ni ya shetani, inaabudu na majini na mnaroho za uuaji na chinjachinja. hata mlevi ukimwamsha atakuambia hivi na wewe mwenyewe unajua hili. na kwa sababu hiyo, wanaoabudu Mungu wa kweli wanajulikana na wanaosindikiza mnajulikana.