Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

Joined
Jul 9, 2023
Posts
10
Reaction score
7
Habari.

Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea.

Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza.

Ofisi ipo Chanika na nyingine ipo Tabata Dar es salaam.

Umri wawe na miaka 30 kushuka chini.

0693 269 437
 
Umri ndio changamoto
 
Tangu lini seremala akawa mwaminifu? Ukimpa order anakudai advance ukishampa anakula yote halafu kila ukifuatilia kifaa chako anakuambia bado, njoo kesho, kesho anakuambia njoo kesho tena na kesho
 
Back
Top Bottom