Natafuta gari ya ml. 4

X-trail
 
[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1] gari ya shamba, kwa iyo pesa unapata brevis iliyokaza sema nikutafutie uniachie hata jiwe 2...
P nitaftie boss njoo Pm nikupe namba
 
NINA 4,000,000

NIPE MOJAWAPO 👇
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
Boss kwa uelewa wangu mdogo kwa bajeti hii unaweza ukabahatisha gari lakini changamoto ni kwamba anagalia usije ukapata gari ya week moja gerage week inafuata barabarani.
 
Kwa bajeti yako katika hizo options za magari ulizoweka nakushauri tafuta mark ii grande. Au altezza 6 cylinder. Hizo nyingine zote ulizoorodhesha zitakusumbua kwenye maintainance hata kama utapata ambayo haina hitilafu yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…