Natafuta gari ya ml. 4

Natafuta gari ya ml. 4

Wewe umekariri, kwani unaongelea x-tray za mwaka 2000 zilizokuwa zinasumbua mfumo wa umeme; kuanzia 2nd generation na kuendelea kwa wanaojua magari x-tray ni nzuri na imara sana (heavy duty); Huwezi kulinganisha uimara wake na Rav 4. Unaweza kuifanyia x-tray service kubwa mara moja kwa mwaka; Peleka rav 4 shambani; kila mwezi upo garage...... Endelea kukariri
X-trail
 
[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1] gari ya shamba, kwa iyo pesa unapata brevis iliyokaza sema nikutafutie uniachie hata jiwe 2...
P nitaftie boss njoo Pm nikupe namba
 
NINA 4,000,000

NIPE MOJAWAPO 👇
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
Boss kwa uelewa wangu mdogo kwa bajeti hii unaweza ukabahatisha gari lakini changamoto ni kwamba anagalia usije ukapata gari ya week moja gerage week inafuata barabarani.
 
Kwa bajeti yako katika hizo options za magari ulizoweka nakushauri tafuta mark ii grande. Au altezza 6 cylinder. Hizo nyingine zote ulizoorodhesha zitakusumbua kwenye maintainance hata kama utapata ambayo haina hitilafu yoyote.
 
Back
Top Bottom