Mkuu vigezo vyako viko too general ndio maana hupati wa kuendana nae.
Being too much dependent ndio unamaanishaje? Au nyie ndio wale ukiombwa elfu 30 Mara 3 unaona dada anapinga vizinga!!
Ukitaka wasioomba hela watafute huko Iringa vijijini utawapata, wa mjini wote wanataka kuhudumiwa [emoji3]
Rudi kijijini kwenu katafute huko au kama wew ni mwenzangu na mie hatuna vijiji jaribu kila ukipata rikizo ya kikazi unaenda kwa ndugu zako (shangazi, mjomba, Dada, baba mdogo) hakika kuna siku utakutana na binti wa maisha yako haswa wale wanaoishi mazingira ya center zinazokuwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili aje kuweka post kwenye uzi wa kimasihara
Sina hata mmoja
Hiyo 30 unaomba mara tatu kwa utaratibu upi kwa mtu ambaye hata mama yako mzazi hamtambui.Mkuu vigezo vyako viko too general ndio maana hupati wa kuendana nae.
Being too much dependent ndio unamaanishaje? Au nyie ndio wale ukiombwa elfu 30 Mara 3 unaona dada anapinga vizinga!!
Ukitaka wasioomba hela watafute huko Iringa vijijini utawapata, wa mjini wote wanataka kuhudumiwa 😀
Umeandika kwa hisia..... Ila usikate tamaa, haya mambo bana sometime yanakujaga tu mda ambao huna hayo mawazo.
Usiwe serious sana kutafuta mchumba, zoeana na girls tofaut tofauti then kati ya hao am sure utampata tu mmoja ambaye utamfeel then ndo uanzishe mahusiano rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28]Hahahaha, hatari sana. Nahis nilikosea sana mashulen huko, kutoka bila mchumba,
Nataman ata nirudi SUA nikaanze tena first year[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
mi nlituma hadi nauli nkapigwa humu kuna vidume vina id ya kike vinaomba nauli si mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaami nlituma hadi nauli nkapigwa humu kuna vidume vina id ya kike vinaomba nauli si mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya njoo tuzoeane 😀
Sijui hata umeandika nini 😂Hiyo 30 unaomba mara tatu kwa utaratibu upi kwa mtu ambaye hata mama yako mzazi hamtambui.
Hapo kuna tofauti na kujiuza kweli ?
Haya njoo tuzoeane [emoji3]
Mwongo, nilikutumia laki moja ili utoke mikocheni kwa Batengazi hadi kwetu buza na hukutokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sijui nakwama wapi mbona situmiwi hizi nauli [emoji134][emoji134]