Natafuta girlfriend wa kupanga nae maisha

Doh pole sana. Huko sasa ni kuzidi
 
Nimechoka mawasiliano ya pm.
Tatizo huyu naye mbahili nikimuomba mtaji wa mashuka atakuja niwekea post humu.
Bora niendelee kutafuta.
Jamani miminimama natafuta mwenza.
Achilia Mbali ubahiri wake mkamate msukule wako MoroGent ukahangaike nae. Huyu Yuk Serious kama ulivyo Wewe kajaribianane nawasihi na hata mrejesho msilete [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nilipataga mmoja na tulikuwa wote kwa muda flani alikuwa na Kaz yake nzuri tu na had kwake nilifika .she is beautiful na vigezo anavyo changamoto ikawa dini

Hakutaka badili kutoka usabatoni ila all in nikambless now Yuko katika ndoa

Na nilifika katika ndoa ila zawad niliyo mpa mpaka leo akinitext huwa aachi neno " you deserve"

Kuna kipind alifikia kuniambia " second child anahtaji toka kwangu" nikakataaa

kilicho akilini kitumie
 
ndio maana nikasema waliofanikiwa hawakufanikiwa moja kwa moja.

nikitu gani ulimpa mkuu mpaka hakusahau.
 
Hapo morogoro umeshindwa opoa?

Huenda ulikuwa unachagua sana[emoji23]

Hata makanisani?

Kuna mahala unakwama



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mchumba mambo yakiwa magumu huko ujue ni magumu kila mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…