Natafuta girlfriend wa kupanga nae maisha

Pesa unayo unafeli wapi?
Kama mdomo mzito wape watu dili wakusaidie kupiga vocal uletewe mke mpaka ndani wewe uwe Kama Dj Khalid wewe unatulia tu.
 
Nenda jf kule ndo forum ya vijana, na kuna jukwaa la wachumba kule watu limewasaidia saana na wengine hadi hurudi kutoa ushuhuda jinsi walivyopatana kupitia fb na wanamaisha ya upendo. Huku wengi ni wazee/wako aged na ni wababaishaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole, nadhani tatizo ni ww mwnyw hauko serious na unachohitaji.
 
Hili tako ndo litakuwa linaniponza.
Wanaona mwanamke mwenye tako kichwani hamna akili.
Yaani wanaume bana ¡!!!! Wanataka walifunue walione tu.
Nami nimekataa hilo acha nife na utamu wangu.
Bora yenu wenye maflat jamaniii kwani wanahisi eti mna akili na wife materials [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na tako lote lile umekosa baby dady tokea 2017?!!
Sasa sisi flat screen itakuwaje Shunie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aende wapi? Kwani hapa ni wapi?
 

Kwa huu mwandiko wako tu nasema wazi hujielewi, wala hujiamini kama unavyojaribu kujinasibisha hapa.

Kwa kifupi tu ili kukusaidia, PANGA MAISHA YAKO KWANZA NDIPO UJE KUTAFUTA MKE WA NDOA.

Kwa wadada, imewapasa kuwa makini na wanaume ma-opportunists kama huyu. Huyu ni mla leo, ya kesho yatajijua menyewe!! Mtaishia kupanga maisha wakati anaendelea kujiburudisha kwa utamu wa bure tu.

Hapo bado hayuko tayari kuitwa mume, siku akiwa tayari hatotafuta wa kumsaidia kupanga maisha, bali atakayemsaidia kuendeleza kile alichokoanza tayari.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Na tako lote lile umekosa baby dady tokea 2017?!!
Sasa sisi flat screen itakuwaje Shunie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu shangaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…