macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mazee, angalia sana. Mind your steps!Kuna kama unaharibu uzi wa mwenzio ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazee, angalia sana. Mind your steps!Kuna kama unaharibu uzi wa mwenzio ,
So, you've been struggling since primary school? I knew you were born into a difficult environment. That's the problem! So instead of studying in primary school, you were busy chasing money? Were your parents unable to provide for your needsAcha ujinga labda ww ndio umezaliwa kwenye ufukara...mkuu pesa tunashika kuanzia primary
Wanhoo ndo nzuriGuta ipi ya kampuni Gani nzuri sinoray,wahoo
Hata mm nilimwambia,pengine aliyemwambia hadi bei yake ni kutaka kumwingiza pabaya. Nami nasema cc 300 haipoHakuna guta cc 300. Narudia tena hakuna guta cc 300. Kua makini.
Kama hadi bima anapata,naunga mkono ushauri wako ilimradi kuna fedha ataokoa kulinganisha na DSM.Nunulia dodoma, jumla jumla mpaka bima ni 7.2M, wacheki kazimoto pale, namba zao sina.
Nimeona sinoray cc300 w 9Hakuna guta cc 300. Narudia tena hakuna guta cc 300. Kua makini.
Labda ni toleo jipya mkuu maana mambo yanabadilika Kila siku na mchina Yuko kazini.Nimeona sinoray cc300 w 9
WANHOOIL chuma ya kaziGuta ipi ya kampuni Gani nzuri sinoray,wahoo
Maduka yanayouza yapo kariakoo sehemu ganiLabda ni toleo jipya mkuu maana mambo yanabadilika Kila siku na mchina Yuko kazini.
Labda JF ya sasa hivi, lakini mbona watu wamekuwa wakiuliza bei ya vitu na kushauriana fresh hata ukimsoma aliekuwa anajibu anaonekana ana uelewa na hayo madude. Mwisho wa siku ukifika wakati wa biashara zinafuata taratibu zinazoeleweka sidhani kama mtu anaweza akatuma 6 million tu kwa mtu bila ku-cross check.Mitandaoni kuna mengi sana.
Hivi kwa akili ya kawaida, mtu anahitaji kununua guta, badala aende madukani, anakuja JF kuuliza.
Hapo hapo anakuja mwingine kudai kwamba ni mtaalamu wa maguta na anaweza kumuulizia bei.
Ngoja niishie hapa!
Hivi ukinunua labda wakakwambia plate namba nakadi yakusubiri baada ya mwezi vip hapoKama hadi bima anapata,naunga mkono ushauri wako ilimradi kuna fedha ataokoa kulinganisha na DSM.
Nashukuru papaa pedeshee nimepata guta sinoray Cc250 q7 kwa 6.6m..jf nzuri sana inatoa miongozo kabla hujaenda kununua...maana kwingine kote Bei 6.8mLabda ni toleo jipya mkuu maana mambo yanabadilika Kila siku na mchina Yuko kazini.
Shukurani ndugu,ndio umhimu na faida Bora ya kutumia majukwaa ya kimitandao badala ya umbea kuzidi,ubarikiwe sana mkuu na Kila lakheri Ktk shughuli zako.Nashukuru papaa pedeshee nimepata guta sinoray Cc250 q7 kwa 6.6m..jf nzuri sana inatoa miongozo kabla hujaenda kununua...maana kwingine kote Bei 6.8m
Nilichelewa kuingia mtandaoni kukujibu ila tulishaongea KWa simu na tayari ulishapata mali mkuu.hongera sana.Hivi ukinunua labda wakakwambia plate namba nakadi yakusubiri baada ya mwezi vip hapo