Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

Acha ujinga labda ww ndio umezaliwa kwenye ufukara...mkuu pesa tunashika kuanzia primary
So, you've been struggling since primary school? I knew you were born into a difficult environment. That's the problem! So instead of studying in primary school, you were busy chasing money? Were your parents unable to provide for your needs
 
Malembeka18, ukihitaji, utanicheck namba: 0788579877 ili tuyajenge na ikikupendeza kuja DSM utakuwa poa pia.
 
Hakuna guta cc 300. Narudia tena hakuna guta cc 300. Kua makini.
 
Nunulia dodoma, jumla jumla mpaka bima ni 7.2M, wacheki kazimoto pale, namba zao sina.
 
Mitandaoni kuna mengi sana.

Hivi kwa akili ya kawaida, mtu anahitaji kununua guta, badala aende madukani, anakuja JF kuuliza.

Hapo hapo anakuja mwingine kudai kwamba ni mtaalamu wa maguta na anaweza kumuulizia bei.

Ngoja niishie hapa!
Labda JF ya sasa hivi, lakini mbona watu wamekuwa wakiuliza bei ya vitu na kushauriana fresh hata ukimsoma aliekuwa anajibu anaonekana ana uelewa na hayo madude. Mwisho wa siku ukifika wakati wa biashara zinafuata taratibu zinazoeleweka sidhani kama mtu anaweza akatuma 6 million tu kwa mtu bila ku-cross check.

Mie JF nimeitumia sana ku-cross check vitu kabla ya kwenda dukani hasa vitu vya electronics kupitia jukwaa la teknolojia na kuna watu kama Chief Mkwawa wamekuwa msaada wa kukupa specifications ya vitu mbalimbali na ukienda dukani upo nondo.
 
Labda ni toleo jipya mkuu maana mambo yanabadilika Kila siku na mchina Yuko kazini.
Nashukuru papaa pedeshee nimepata guta sinoray Cc250 q7 kwa 6.6m..jf nzuri sana inatoa miongozo kabla hujaenda kununua...maana kwingine kote Bei 6.8m
 
Nashukuru papaa pedeshee nimepata guta sinoray Cc250 q7 kwa 6.6m..jf nzuri sana inatoa miongozo kabla hujaenda kununua...maana kwingine kote Bei 6.8m
Shukurani ndugu,ndio umhimu na faida Bora ya kutumia majukwaa ya kimitandao badala ya umbea kuzidi,ubarikiwe sana mkuu na Kila lakheri Ktk shughuli zako.
 
Back
Top Bottom