Natafuta kazi au internship nipo Mwanza

Natafuta kazi au internship nipo Mwanza

Mrkaswahili

Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
65
Reaction score
43
Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy).

Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba kupata kazi katika kampuni yeyote ikipatikana idara ya uhasibu natumai nawwza kufanya kazi kwa unadhifu % kubwa iwe ndani ya Mwanza au hata nje ya Mwanza. Kwq atakae wiwa na hili nipo tayari kuwa msaidiz ktk sector yeyote ile ya kiuhasibu Ahsante
 
Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy) Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba kupata kazi katika kampuni yeyote ikipatikana idara ya uhasibu natumai nawwza kufanya kazi kwa unadhifu % kubwa iwe ndani ya Mwanza au hata nje ya Mwanza. Kwq atakae wiwa na hili nipo tayari kuwa msaidiz ktk sector yeyote ile ya kiuhasibu Ahsante
Mungu akutangulie
 
wacheki hao wapo Moshi


IMG_20220120_000340_141.jpg
 
Nilisikia kuwa hawanag deadline unafany intern ukimaliz wawapish wengine so cna uhakik n nilicho kisikia ikwa ni kweli au hapana

anha shukrani ndungu yangu, kwahiyo katika kutuma maombi hakuna deadline kwa taarifa ulizosikia?
 
Back
Top Bottom