Mrkaswahili
Member
- Dec 17, 2021
- 65
- 43
Mungu akutangulieHabari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy) Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba kupata kazi katika kampuni yeyote ikipatikana idara ya uhasibu natumai nawwza kufanya kazi kwa unadhifu % kubwa iwe ndani ya Mwanza au hata nje ya Mwanza. Kwq atakae wiwa na hili nipo tayari kuwa msaidiz ktk sector yeyote ile ya kiuhasibu Ahsante
Amiin ndg nawe akufungulie mamb yako 🙏Mungu akutangulie
Amiin ndg nawe akufungulie mamb yako 🙏Mungu akutangulie
Sawa kakawacheki hao wapo moshi View attachment 2088639
Nimekuelew kaka nitafanyia kaziSambaza barua kweny mashirika mengi...utapata tu
Sijaelewa boss umemaanisha nini hapo
All The BestSijaelewa boss umemaanisha nini hapo
Ahsante sana🙏🙏All The Best
Nilisikia kuwa hawanag deadline unafany intern ukimaliz wawapish wengine so cna uhakik n nilicho kisikia ikwa ni kweli au hapanahivi hii dead line ni lini wakuu?
Nilisikia kuwa hawanag deadline unafany intern ukimaliz wawapish wengine so cna uhakik n nilicho kisikia ikwa ni kweli au hapana
Naam maan wao mpango wao n kukuz taasisi n taasisi n watuanha shukrani ndungu yangu, kwahiyo katika kutuma maombi hakuna deadline kwa taarifa ulizosikia?
Naam maan wao mpango wao n kukuz taasisi n taasisi n watu
Shukran kaka
0748429030Namba ya simu weka