Natafuta kazi halali nipo Mbeya

Natafuta kazi halali nipo Mbeya

Habari za wakati huu wakuu..?

Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry)

Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu...

kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji mwalimu wa masomo taja usisite kuniunganisha..
CV na mawasiliano yangu vikihitajika nakutumia PM...

Napatikana mbeya mjini
Upo tayari kufanya kazi kijijini?
 
check Igawilo pale na Ivumwe.
 
Dunia inaenda mbio sana, chem & bio miaka hii mtu anatafuta kazi kwa shida, miaka yetu ukimaliza six tu unaitwa shule fulani ukawape madogo pindi.

Naamini utapata..
 
Kuna shule ipo Mtwara inaitwa Call & Vision inatafuta mwalimu wa masomo yako, ni shule ya kanisa, mshahara mzuri.

Sina maelekezo mengine zaidi ya hayo, USIJE PM. Nenda Mtwara mjini kamuulize yeyote atakupeleka.
 
Back
Top Bottom